Mzigo bado upo?wandugu namalizia mzigo kwa iphone 4 16Gb laki saba na nusu fasta na ipad 2 16Gb Wifi laki tisa na nusu tu.
kama unataka nipim
yes ndio bei kwani wewe unaonaje na ni mpya
Kama Apple official price ni zaidi ya hiyo bei yako, wewe hizo umezipata wapi?
Niaje? Aisee mm naka iPad 64 Gb vp? Nitaipata.wandugu namalizia mzigo kwa iphone 4 16Gb laki saba na nusu fasta na ipad 2 16Gb Wifi laki tisa na nusu tu.
kama unataka nipim