Ofa kumalizia mzigo iphone 4 na ipad2

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
wandugu namalizia mzigo kwa iphone 4 16Gb laki saba na nusu fasta na ipad 2 16Gb Wifi laki tisa na nusu tu.
kama unataka nipim
 
Please chdck the price before writting jus to be sure. ipad2 imeshuka bei na kila mtu yu ajua now and that happen after release of new ipad. in USA price for now is around 399 to 415. Tatizo la watanzania mmeshazoea kila kitu kipya mpigwe kwanza bei wengine hatupendi faida kubwa alafu mzigo ukudodee. For more infor check thread zangu zilizopita kupata feedback kutoka kwa waliowahi kununua product kwangu. I NEVER SELL CHINESE PRODUCT
Kama Apple official price ni zaidi ya hiyo bei yako, wewe hizo umezipata wapi?
 
Back
Top Bottom