Ofa kubwa;kiwanja cha kipekee dodoma mjini 0767833496/0659605358

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
942
896
1.Kiwanja hiki kipo nala kibaoni

2.Eneo liko umbali wa kilomita 13 kutoka katikati ya mji(town centre)

3.Eneo liko umbali usiozidi kilomita 1.2 kutoka barabara kuu iendayo mwanza/singida/tabora.sehemu salama zaidi kwa watu wenye hofu ya mambo ya barabara

4.Eneo lina ukubwa wa ekari mbili kasoro kidogo sana

5.Eneo lina hati ya kijiji(kupitia serekali ya mtaa/kijiji)

6.Eneo liko sehemu salama kwa maana limepakana na jirani aliyepimiwa(roman catholic sisters)

7.Maji na umeme vyote viko jirani

8.Eneo lina fursa kubwa sana,kama vile
A.liko sehemu karibu na chuo cha biashara(utaona picha)
B.kwenye master plan ya mtaa kuna shule standards zinakuja kujengwa
C.liko karibu na mzani,fursa ya kibiashara
D.Linapakana na roman catholic sisters wenye mradi wa kujenga shule na hospital
kubwa kabisa itayotoa huduma mtaa mzima
E.karibu na eneo la shabiby anayetaka kuweka miradi kama sheli,hotel
9.Bei ya eneo ni milioni 5.9,mazungumzo yapo na unaweza lipa kwa installments

10.kwa mawasiliano zaidi 0767833496/0659605358
 

Attachments

  • IMG-20170918-WA0002.jpg
    IMG-20170918-WA0002.jpg
    98.3 KB · Views: 26
  • IMG-20170918-WA0004.jpg
    IMG-20170918-WA0004.jpg
    64.3 KB · Views: 24
  • IMG-20170918-WA0005.jpg
    IMG-20170918-WA0005.jpg
    110.2 KB · Views: 26
  • IMG-20170918-WA0006.jpg
    IMG-20170918-WA0006.jpg
    101.9 KB · Views: 24
  • IMG-20170918-WA0007.jpg
    IMG-20170918-WA0007.jpg
    77.3 KB · Views: 28
  • IMG-20170918-WA0008.jpg
    IMG-20170918-WA0008.jpg
    64.5 KB · Views: 24
  • IMG-20170918-WA0010.jpg
    IMG-20170918-WA0010.jpg
    96.5 KB · Views: 24
  • IMG-20170918-WA0012.jpg
    IMG-20170918-WA0012.jpg
    128.8 KB · Views: 26
  • IMG-20170918-WA0014.jpg
    IMG-20170918-WA0014.jpg
    81.1 KB · Views: 24
  • IMG-20170918-WA0015.jpg
    IMG-20170918-WA0015.jpg
    73.9 KB · Views: 22
Nilikua najaribu kuangalia huo "Upekee" ulioutaja kwenye heading sijauona,
labda unisadie Mkuu
Vizuri.soma point namba nane na linganisha na bei!pia bei za ekari moja kwa eneo lilipo ni kubwa zaidi kuanzia 6 mpaka 10.
Karibu sana mkuu
 
Mie soon nahamia hapo Idodomya, naweza kupata ekari kuanzia 10 kwa masharti haya?
1> Pasiwe mbali zaidi ya 30Km kutoka Barabara kuu.
2> Bei isizidi 5M.
3> Pawe na Barbara au njia ya uhakika.
4> Umeme wa REA usiwe zaidi ya 1Km.
 
Mie soon nahamia hapo Idodomya, naweza kupata ekari kuanzia 10 kwa masharti haya?
1> Pasiwe mbali zaidi ya 30Km kutoka Barabara kuu.
2> Bei isizidi 5M.
3> Pawe na Barbara au njia ya uhakika.
4> Umeme wa REA usiwe zaidi ya 1Km.
Ndio unapata.Nakuomba PM tuzungumze kama uko serious na unachokizungumza Ndugu
 
Back
Top Bottom