(Ofa bure) Ifahamu ofa ya asubuhi Supa Vodacom

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
967
664

Kila siku asubuhi kuanzia saa 12 hadi saa 2 ofaa hii inatoa MB 60 bure
Gonga *149*01# then chagua namba 1 after that utaona kama hapo kwenye image then chagua 20 supa then utaiona ASUBUHI SUPA
Screenshot_20201107-065952.png
 
Mb 60 unatumia zile nokia za zamani na browser ya operamin? Saivi utazifanyia kitu gani kwenye hii mi simu yetu ya kisasa..
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom