Önly fans of Hiphop

Kwa Uelewa Wangu Mimi Kuhusu Vgezo Vya Mtu Kua Mc Lazma Awe Na Vgezo Hv!!

1. freestyling Na Mitindo Huru[/]
Any Real Mc lazma Awe Mzima Katika Kushusha Mitindo Huru Ama Freestyle. hii Kitu Ndo huwa Inawakimbiza wasanii weng wa bongo na kuwaacha kama maraper!! binafsi Sina Uhakika Kama ROMA, Stamina, Baghdad na hao Weus kama wame qualify kwenye Hii Kituuu!! na Hii Ndo kitu inayo ashiria u wackness wa marapper weng hapa bongo... kiukwel Hii Kitu Walioqualify Kwa wasanii waliopo sasa nadhan Watakua n Nikki Mbishi, Stereo, Nash Mc Na wengne nsio wajua... Ila ma Mc weng Wa zaman kama kna Dogo Mwenda Wazimu walikua Wamequalify

2 Mitindo Ya Mitambao/ Michano
unapokua Real MC Lazma Uwe Una Stylez Nyng Za Mitambao au Stylez Za Uchanajiiii na Kama Uliwah Fuatilia East Cost vs west coast Hip Hop Rivary(Staki Kuanziha Upya Huu Ubishi) Lazma Utakua Unaelewa!! hii Kitu Ndo huwa Inamfanya Notorious Big Aonekane Mkali Kuliko 2pac Kwan Alkua Na Mitambao Ya aina Nyng Kuliko 2pac!! hpa Ndo Sitajaribu Kuwaweka Kabisa Roma Wala Stamina Maana Wana Mis Hii Kitu!! kimitambao Kwa Tz Labda Fid Q. stereo, nikki Mbishi Na Hata Young Kila Yupo Vzur (Sjawajumlisha Kina Dogo Mwenda Wazimu Na watu Wa Kitambo Coz Hakuna Ubish Kuwa Walikua Ma Real Mc So Msishangae Hloo)
na Hii Pia Inabd MC Ujue Moja Mbili, Mwanzo Kati Na Mwisho Na Hata Turn Twist.. (Ndomaana Sishangai The Game Kurudia Stylez Za Bone Thugs Kwenye Nymbo Ya Celebration)
pia Kuna Stylez Nyngne Za Mitambao Zmeongezeka Kam 2 5 Flow Wanayotumia Camp Mulla from Kenya!! kuna Video Moja Ipo Youtube Inamuonyedha Balozi Akiwa Marekani Alikutana na Jamaa Anaitwa Wild style!! jamaa Anajua Mitambao Vbaya!! kazungumzia Mpaka Hii Kitu Ya Tofaut Kat Ya Rapa Na MC

Bongo Barbershop - Wild Style & African rapper - YouTube

3 Thoughts Na Ideas Za Mchanaji
hili Ndo Vjana Weng Wa Skuiz Wanapochemka!!! ndo maana Kwenye Nymbo Ya Kanye West Classic Mle Ndan KRS 1 Ameongelea Hlo

na Hapa Ndo Wasandii Weng Wanachemkaaa!! mtu Anabak Kujsfia Tu Kwenya Nymbo Bila Kufikiria Jamii Inamuelewa Vp!!! pia Style Ya Kufikisha Ujumbe Pia Nadhan Ndo Kikwazo Kwa Weng!!! stamina Hapa Watu Wanaweza Sema Ame Qualify Ila Mm Kwa Vgezo Vyangu Siwez Kumpa Maksi Zoteee!!! Lakini Suala La Fid Q Kutumia Misemo Naweza Kuliunga Mkono Kabisa!! ila Nlichogundua N Kwamba Watu weng Huwa Wana Mpa Credit Hata Asipostahl Thats why Kuna People Wali Diss !! ila N Mkalii!!! hasa Kwa Era Iliyopo Sasa!! hapa Kwa Thoughts Za Kipekee Mayb One The Inredible Anaweza Kukimbiza!!! (simsifii) Ila Nmeskiliza Album Yake Sanaa Sema Ana Mis Baadhi Ya Vgezo Vyajuu Hasa Kwenye Mitindo!! yupo Static Sanaa Habadiliki Mara Kwa Mara!! nahapa Ukija Kwenye

pia Kuna Vgezo Vngne Pia Vnaweza Kuonekana Havna Nguvu Ila Vnamaana Sana!!!!

¤Ku Stay Real Na Ku Rep You Society
hapa Ndo Utagundua Watu Hawa wakilishi Jamii wayotoka!! mtu Unataka Kuimbia Hela Wakat Unaju Hali Ya Watanzaniaa!! hata Kama Ushazpata hutakiwi Kuchange !! kama Ushawah Chek Vdeo Ya Kikos Cha Mizinga The Session Youtube Hashim Pia Kaliongelea Hlo!! Akasema Mfano Yy Alipokua Nje Still Alikua Ana Rep Kitaan Kwake Coz Kama ange Change Isingekua Real!!
[http://m.youtube.com/watch?client=mv-google&hl=en-GB&gl=US&v=Ge5qENkC0Y4]

Mc Ni element Ya Hip Hop So Inajitegemea Na Mtu Kua MC Sio Lazma Awe Anajua Nguzo Zilizo Baki Kama
B Boying . Grafiti Na Dj Ila Kuna Baadhi Ya V2 N lazma Kuwa Navyo Kama Punch Lines Na Freestyles
pia Atitude Sometimes Inasaidia Ndomaana katka Mavaz Pia Kuna Dress Code Za Hip Hop!! (mm Mtu ukija Umevaa Vijins Vya Kubana Af Uniambiw Ww Mwana Hip Hop Skuelewi!! mayb Ww N Snitch)

Kwa Upande Wang Mm Ma Mc Bongo Nikianza Miaka Ya Nyuma
- All Kwanza Unit
-all Diplomatz
- Hashim Dogo
- Faza Nellly[R.I.P]
- 2 Proud Aka Sugu
- Afro Reign
- Dj Yusuph

Kwa Waliopo Now
Fid Q
Most Of Tamaduni Music Memberz Wakiwemo Kna Nikki, One, Stereo, Sona P The Mc Na Nash
-Chindo

Ila Kuna Watu Bora Nijinyonge Siwez Kuwaita Ma Mc Kama Stamina, ROMA, Professor J, Kalapina Godzila Ney Wa Miteg(Tena Na Mshangaa Anavyojiita MC Akiwa Na Punga Mwenzie Daimond) Pia Ay Na Mwana Fa: Gosby Na Hawa B Hitz Wotee + Weusi Na Chember Squad

Ila Kuna Watu Hata Tusipo Wita M Wantahili Hshima Kama Crazy GK Na Saleh Jabir Pia Kina Ebony Moalim Planet 2000 Na Hata Kina KR, Nature Na Inspecta Babu!!!

BIG up Mkuu Umeongea Vitu vya Msingi sana
 
hapana songa yupo na one na washikaji zake jumla watano wanaunda kundi linalo itwa ilmatrix

Hapana Songa Hayupo Ilmatix!!! ila Kwa Wafuatiliaji Wa Fidstyle Walidanganywaa!! one Skuile Iltakiwa Awe Na Memba Wenzake Wa Ilmatix Ila Ikashndkana Kuwepo!! na Fid Alikua Ndo anakuja kuwafanyia Interview So Aliyekuwepo Pale alikua N One Na Songa!! ndipo Songa Akajitangaza Kuwa Yy N Memba Wa Ilmatix Tangu Mwakajana Ila Watu Wa Karibu Na Kna Songa Wanaujua Ukwelii!! hudhuria Viringen Siku Za Jmos Ongea Nao Utaambiwa Ukwel!! songa Yupo Kundi La Miraba Minne Na Moja Ya Track Zao Nii Hii Hapa Chin

Download
 
Sawa Mkuu Nimekuelewa Asante wa Link Yako Ya hiyo Ngoma Nilikuwa Naitafuta sana thanks
 
hahahahaha hamna kitu pumba tupu soft sana siku hz huyu kaka ndo maana wana mponda sana kina Nikk Mbishi

Yupo kampani moja na kina mashauzi Isha sa hv,toka chochote popote na hao hakuna kitu zaidi ya mipasho

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hyo Pcha Ya Juu Mwenye Kimzuzu Ni Nash Mc Sio Duke!!! Hao ni Miraba Minne Ndan Ya Hlo Kund Kuna Nash Mc madina P the Mc Zaiid Mnete Na Songael Mwangala Aka Songa!!! Duke Pia Ana Kimzuzu Ila Yy N Huyo Kwenye Picha Ya Pchin

na ndio nilichomaanisha labda sikueleweka...Duke aka faza krismas mwenye kadeti kaki amesimama
 
aisee nafurahi sana kuona wana Hip Hop kwa sababu najua Mwana hip hop lazima uwe TIMAMU...
turudi kwenye topic emcee Bongo walikwepo wapo watakwepo...
Old skul wengi wameshawaongelea haina ubishi...kwa upande wangu Hashim dogo hana mpinzani,..Salu T nashangaa watu huwa wanamsahau sana huyu ni Malenga wa hatari sana...Fid Q, Tamaduni muzik kuna ma emcee wa kutosha kama nash,baba malcom, azma na uno, Jmo mo tech mo flava, magazijuto.. kuna ambao walipotea njia kama Solothang..

Kipe kitu kikupe kikutupe kupe kwake kinyonye damu kwa ham-Hashim Dogo

Tangu sabini na nane wabongo mmefunga mkanda?-Hashim dogo
 
gizle madebe!
 
kwa hawa wasanii wanaovuma Sasa, Nani anatimiza nguzo zote tano?

Huu mjadala bado unastahili kuendelezwa
 
Mbona hao ma Mc wengi mnao wataja ni loser kwenye game?

Dunia inasonga kukaa unapoteza muda just for fun imepitwa na wakati
Mambo ya uMc ilikuwa zamani hivi sasa watu wanafanya muziki ni maisha which means making money

Prof j,AY na FA,Fid q,Chid benz,Joe makini,N2N hawa ndio maMc wa zama hizi, pesa kwanza

Hata ulaya kuna watu bado wanawaponda akina lilywine na drek kuwa si kitu but kiukweli wana make a lot of money kuliko wagumu ambao wamepitwa na wakati

Inawezekana kawa kweli hao akina hashm dogo na ramson wakawa ma real mc lakini uzao huu unawakata, wanaonekana vituko na wahuni fulani hivi
Uzao wa dot com hauhitaji nyimbo ngumu unataka vitu laini na vinavyochezeka

Kuna watu mmewataja hapo toka enzi na enzi masikini hata baskeli hawajawahi kupata kupitia muziki, nasikia tu majina yao lakini muziki haufahamiki wala hawatoki na most of them ni wahuni kupindukia

Nampenda sana prof j anajua kusoma jamii inataka nini, walianza na rap ngumu lakini leo hii prof analisongesha kuendana na mabadiliko ya jamii lakini angejifanya kukomaa na ureal mc angeishia kuvuta bangi na kuwaponda akina FA tu

Wengine waliacha pengine hawakuona future
 
kwa hawa wasanii wanaovuma Sasa, Nani anatimiza nguzo zote tano?

Huu mjadala bado unastahili kuendelezwa

mjadala bado mgumu sana maana kila mtu anataja mtu anaemkubali yeye kwa upande wake.

Hata mimi ukiniuliza nani anafata misingi sitaweza kukupa jibu sahihi.

Lakini nina machagua yangu, ya wale ninaowasikiliza sana

nawakubali sana weusi kwanza, then nawasikiliza sana Watengwa, Tamaduni Muzik, Fid Q, Arusha Hip Hop n.k
 
Chindo namkubali mno ile voice take,pia JCB!!

Kuna lile dude la bou nako Mara oh!!
 
Kwa Uelewa Wangu Mimi Kuhusu Vgezo Vya Mtu Kua Mc Lazma Awe Na Vgezo Hv!!

1. freestyling Na Mitindo Huru[/]
Any Real Mc lazma Awe Mzima Katika Kushusha Mitindo Huru Ama Freestyle. hii Kitu Ndo huwa Inawakimbiza wasanii weng wa bongo na kuwaacha kama maraper!! binafsi Sina Uhakika Kama ROMA, Stamina, Baghdad na hao Weus kama wame qualify kwenye Hii Kituuu!! na Hii Ndo kitu inayo ashiria u wackness wa marapper weng hapa bongo... kiukwel Hii Kitu Walioqualify Kwa wasanii waliopo sasa nadhan Watakua n Nikki Mbishi, Stereo, Nash Mc Na wengne nsio wajua... Ila ma Mc weng Wa zaman kama kna Dogo Mwenda Wazimu walikua Wamequalify

2 Mitindo Ya Mitambao/ Michano
unapokua Real MC Lazma Uwe Una Stylez Nyng Za Mitambao au Stylez Za Uchanajiiii na Kama Uliwah Fuatilia East Cost vs west coast Hip Hop Rivary(Staki Kuanziha Upya Huu Ubishi) Lazma Utakua Unaelewa!! hii Kitu Ndo huwa Inamfanya Notorious Big Aonekane Mkali Kuliko 2pac Kwan Alkua Na Mitambao Ya aina Nyng Kuliko 2pac!! hpa Ndo Sitajaribu Kuwaweka Kabisa Roma Wala Stamina Maana Wana Mis Hii Kitu!! kimitambao Kwa Tz Labda Fid Q. stereo, nikki Mbishi Na Hata Young Kila Yupo Vzur (Sjawajumlisha Kina Dogo Mwenda Wazimu Na watu Wa Kitambo Coz Hakuna Ubish Kuwa Walikua Ma Real Mc So Msishangae Hloo)
na Hii Pia Inabd MC Ujue Moja Mbili, Mwanzo Kati Na Mwisho Na Hata Turn Twist.. (Ndomaana Sishangai The Game Kurudia Stylez Za Bone Thugs Kwenye Nymbo Ya Celebration)
pia Kuna Stylez Nyngne Za Mitambao Zmeongezeka Kam 2 5 Flow Wanayotumia Camp Mulla from Kenya!! kuna Video Moja Ipo Youtube Inamuonyedha Balozi Akiwa Marekani Alikutana na Jamaa Anaitwa Wild style!! jamaa Anajua Mitambao Vbaya!! kazungumzia Mpaka Hii Kitu Ya Tofaut Kat Ya Rapa Na MC

Bongo Barbershop - Wild Style & African rapper - YouTube

3 Thoughts Na Ideas Za Mchanaji
hili Ndo Vjana Weng Wa Skuiz Wanapochemka!!! ndo maana Kwenye Nymbo Ya Kanye West Classic Mle Ndan KRS 1 Ameongelea Hlo

na Hapa Ndo Wasandii Weng Wanachemkaaa!! mtu Anabak Kujsfia Tu Kwenya Nymbo Bila Kufikiria Jamii Inamuelewa Vp!!! pia Style Ya Kufikisha Ujumbe Pia Nadhan Ndo Kikwazo Kwa Weng!!! stamina Hapa Watu Wanaweza Sema Ame Qualify Ila Mm Kwa Vgezo Vyangu Siwez Kumpa Maksi Zoteee!!! Lakini Suala La Fid Q Kutumia Misemo Naweza Kuliunga Mkono Kabisa!! ila Nlichogundua N Kwamba Watu weng Huwa Wana Mpa Credit Hata Asipostahl Thats why Kuna People Wali Diss !! ila N Mkalii!!! hasa Kwa Era Iliyopo Sasa!! hapa Kwa Thoughts Za Kipekee Mayb One The Inredible Anaweza Kukimbiza!!! (simsifii) Ila Nmeskiliza Album Yake Sanaa Sema Ana Mis Baadhi Ya Vgezo Vyajuu Hasa Kwenye Mitindo!! yupo Static Sanaa Habadiliki Mara Kwa Mara!! nahapa Ukija Kwenye

pia Kuna Vgezo Vngne Pia Vnaweza Kuonekana Havna Nguvu Ila Vnamaana Sana!!!!

¤Ku Stay Real Na Ku Rep You Society
hapa Ndo Utagundua Watu Hawa wakilishi Jamii wayotoka!! mtu Unataka Kuimbia Hela Wakat Unaju Hali Ya Watanzaniaa!! hata Kama Ushazpata hutakiwi Kuchange !! kama Ushawah Chek Vdeo Ya Kikos Cha Mizinga The Session Youtube Hashim Pia Kaliongelea Hlo!! Akasema Mfano Yy Alipokua Nje Still Alikua Ana Rep Kitaan Kwake Coz Kama ange Change Isingekua Real!!
[http://m.youtube.com/watch?client=mv-google&hl=en-GB&gl=US&v=Ge5qENkC0Y4]

Mc Ni element Ya Hip Hop So Inajitegemea Na Mtu Kua MC Sio Lazma Awe Anajua Nguzo Zilizo Baki Kama
B Boying . Grafiti Na Dj Ila Kuna Baadhi Ya V2 N lazma Kuwa Navyo Kama Punch Lines Na Freestyles
pia Atitude Sometimes Inasaidia Ndomaana katka Mavaz Pia Kuna Dress Code Za Hip Hop!! (mm Mtu ukija Umevaa Vijins Vya Kubana Af Uniambiw Ww Mwana Hip Hop Skuelewi!! mayb Ww N Snitch)

Kwa Upande Wang Mm Ma Mc Bongo Nikianza Miaka Ya Nyuma
- All Kwanza Unit
-all Diplomatz
- Hashim Dogo
- Faza Nellly[R.I.P]
- 2 Proud Aka Sugu
- Afro Reign
- Dj Yusuph

Kwa Waliopo Now
Fid Q
Most Of Tamaduni Music Memberz Wakiwemo Kna Nikki, One, Stereo, Sona P The Mc Na Nash
-Chindo

Ila Kuna Watu Bora Nijinyonge Siwez Kuwaita Ma Mc Kama Stamina, ROMA, Professor J, Kalapina Godzila Ney Wa Miteg(Tena Na Mshangaa Anavyojiita MC Akiwa Na Punga Mwenzie Daimond) Pia Ay Na Mwana Fa: Gosby Na Hawa B Hitz Wotee + Weusi Na Chember Squad

Ila Kuna Watu Hata Tusipo Wita M Wantahili Hshima Kama Crazy GK Na Saleh Jabir Pia Kina Ebony Moalim Planet 2000 Na Hata Kina KR, Nature Na Inspecta Babu!!!

Yaani umewaweka GK,Nature,KR na Inspecta katika kundi la watu unaowaheshim then unamwacha Profesa Jay? What a joke
 
Yaap mazee nimewachek na kufuatilia comment zenu kuusu Mc ni nan na watu wamejaribu kutaja nawengne kutoa ata smo kuusu hip hop na nguzo zake na uchambuzi kuusu uemc nimewaona naemc weng waliotajwa na nimewakubali baadhi yao lakini naskitika saana kwenye list karibu zote kuachwa(kusahaurika) MTU kama SALU.TEE na uyu ni mmoja was maemc wakubwa sana kutokea APA nchini ukimfuatilia katika vifuatavyo
1.flow ana tiririka ajabu mpangilio wa vina na mizani katika mpangilio au sauti yakinifu
2.style Kali na yakipekee iliobeba dhima nzma ya anachokiwakilisha.
3.utunzi wakijamii wenye ujumbe maususi
Da namkubali sana uyu jamaa ni sauti ya mitaaa
 
Yaani umewaweka GK,Nature,KR na Inspecta katika kundi la watu unaowaheshim then unamwacha Profesa Jay? What a joke

umeambiwa kuwa jamaa ni malaika so hawezi kosea... it means ulikuwa untafuta wapi kasahau kumweka prof.... by the way hawezi kumridhisha kila mtu...
 
Huwezi kumsahau Prof Jay kwenye historia ya muziki wa Bongo kwa namna yoyote ile, ni sawa useme umesahau kumtaja Nyerere kwenye historia ya Tanzania
 
Back
Top Bottom