Önly fans of Hiphop

Mc wa ukweli ni CHINDO MAN mbwa mzee a.k.a Jombii
tafuteni nyimbo za huyu generali wa WATENGWA FAMILY.He is an awesome mc,from arusha the high court of Hip Hop

Chindo mkali sana,nimeshasikiliza ngoma zake nyingi sana,ulivyomzungumzia tu ukanikumbusha wakati nipo chuo kuna rafiki yangu kutoka mbeya alikua anampenda sana mbwa mzee.i heard yuko mbele sasa hivi,and watengwa is under JCB.
 
Mbona hao ma Mc wengi mnao wataja ni loser kwenye game?

Dunia inasonga kukaa unapoteza muda just for fun imepitwa na wakati
Mambo ya uMc ilikuwa zamani hivi sasa watu wanafanya muziki ni maisha which means making money

Prof j,AY na FA,Fid q,Chid benz,Joe makini,N2N hawa ndio maMc wa zama hizi, pesa kwanza

Hata ulaya kuna watu bado wanawaponda akina lilywine na drek kuwa si kitu but kiukweli wana make a lot of money kuliko wagumu ambao wamepitwa na wakati

Inawezekana kawa kweli hao akina hashm dogo na ramson wakawa ma real mc lakini uzao huu unawakata, wanaonekana vituko na wahuni fulani hivi
Uzao wa dot com hauhitaji nyimbo ngumu unataka vitu laini na vinavyochezeka

Kuna watu mmewataja hapo toka enzi na enzi masikini hata baskeli hawajawahi kupata kupitia muziki, nasikia tu majina yao lakini muziki haufahamiki wala hawatoki na most of them ni wahuni kupindukia

Nampenda sana prof j anajua kusoma jamii inataka nini, walianza na rap ngumu lakini leo hii prof analisongesha kuendana na mabadiliko ya jamii lakini angejifanya kukomaa na ureal mc angeishia kuvuta bangi na kuwaponda akina FA tu
 
swali ni:hapa Bongo nani anafaa kuitwa Mc??

Ayo mengine unatutoa kwenye mjadala.
 
Mkuu,

Tunapojadili uwezo wa Ma MC tuna base kwenye misingi ya Hip hop bila kujali mitizamo ya jamii juu yake! Mitizamo ya jamii inaweza kuwa influenced na mambo mengi lakini misingi ya Hip hop inabaki pale pale.

Kama mtu ataimba Hip hop Rhumba na akakubalika haiwezi kubadili maana na misingi ya Hip hop! Kufanya biashara kupitia muziki hakuwezi kutufanya tupate new hip hop definition! Siku hizi hasa ulaya watu hawaendi makanisani lakini hilo haliwezi kufanya misingi ya ibada kubadilika ili kuvutia watu! Binadamu anao wajibu wa kufata anayotaka MUUMBA WETU na si MUUMBA WETU kufata tunayotaka sisi! nimetoa mfano huu kukuelewesha maana ya culture ya Hip hop na misingi yake itayobaki jinsi ilivyo regardless mabadiliko ya ulimwengu!

Huwezi kufanya hip hop ya asili kwasababu eti hailipi maana yake wewe si mwana Hip hop maana Hip hop ipo kwenye damu tu si utashi kama aina nyingine ya muziki (ukitoa reggae!) yaani punchline zinashuka tu hata kama unauza genge la nyanya!

Alafu hata hao wasanii uliowataja hawauzi pia! kila mmoja anajua anaendeshaje maisha yake na si mauzo ya muziki wao pekee! Hao hao ndio wanaolalamika pia Muziki pekee haulipi kama akina Diamond wanavyopata!

Hip hop ni maisha,pesa matokeo ndugu!
 
kama wewe sio Zavara basi utakuwa Dogo Hashim duuh nimepata kitu kikubwa sana hapa true u made my day!
 
i wish somemeone could tell me what these two letters "MC''..Means.!!

We mtoa hoja nifungukie maana ya "MC".? TZ boy
 
Last edited by a moderator:

kwa mimi navyojua MC lazima uweze kuzimaster five "5" element of HIPHOP
 
Last edited by a moderator:
Mc au mtu chengu/mchenguaji ni yule anayetumia rap kufikisha ujumbe kwa jamii na kuweka jamii sawa,vilevile lazma awe na tungo mahiri zenye vina na mizani na uwezo wa hali juu wa mitambao kwenye midundo,MC lazima awe na uwezo wa kufanya mitindohuru kwa lugha ya kigen freestyle(tungo za papo kwa papo) na kufuata nguzo tano za hip hop.nash mc,p the mc yessaya,nikki mbishi,hashimu dogo ni moja wapo waliobakia wengi ni marapper.
 
Wakuu kwa nyie mnaodai MC anatakiwa aweze kufanya nguzo zote 5 za hip hop huo ni uongo. How come mtu akaweza kufanya nguzo zote? Kwasababu kila nguzo inategemea talanta binafsi.
Afu siku tapate mjadala kuhusu nguzo za Hip Hop kwasababu kuna watu wanadai ziko 4, wengine 5, pia ukisikiliza nyimbo ya Hip hop knowledge ya KRS-0NE alitaja nguzo 9.
 
nguzo zipo tano mkuu...sometime watu wanazizungumzia nne sababu kuna nguzo moja inaingia ata kwenye kila izi nguzo nne(Ufahamu).

Nguzo izi hapa.
1.Michano
2.Mabreka
3.U-dj
4.Machata
5.Ufahamu/Fikra

Pia Mc lazima afuate misingi ya Uchanaji,kumbuka sio kila mchanaji anafanya Hiphop,na sio kila mchanaji ni Mc...Hiphop ina misingi yake mfano Mchanaji lazima atoe ujumbe,lazima atumie midundo ya Hiphop(kubooom kubaaaam),lazima awe na mitambao yenye mojambili mojambili..na siku zote asiyumbe kwenye misingi.

Ndio maana utashangaa Roma (na watu dizain yake)hajawai kupata sifa za kuwa MC sababu tungo zake zimekosa ujumbe ila zimejaa "mahubiri" pia flow zake zimekosa one-two.
 
Kama tukiwa makini, Hashim Dogo me nadhani anastahili kua m1 ya real mc hapa bongo nje ya Zavara, K-single, D rob, na Faza nelly.
Kwasababu ukimsikia Fid, Nikki Mbishi, Sterio, Songa, P The Mc na Maalim Nash wote ni Copy ya Hashim Dogo.
Pia wengine wanacopy hata style za state mfano Nikki Mbishi haswa alipokua anaanza game nyimbo kama Punch Line kuna sehemu anasound kama Common.

FID Q anacopy sana baadhi ya punch line zake state mfano kwenye nyimbo yake ya Professional kuna punch anasema " Natokea mwanza home of greatest rapper mtoto wa dandu comes first then i am a professional" alichukua kwa Lil Kim kwenye nyimbo ya Lighters up Kim alisema "Am from brooklyn home of greatest rappers BIG comes first and Kim comes after" pia kama una album ya Enter the Wutang ya mwaka '93 ya Wu tang clan kuna punch line nyingi Fid anazitumia hata jina la One man army au jeshi la mtu mmoja alikua analitumia Ol' diry bastard kwenye nyimbo ya "Shame on you" kifupi wasanii wengi wa sasa ni wezi wa mistari konde.

Mkubwa nakubalina na wewe kabisa! MCs wa sasa wote wazugaji wana copy na kupaste au kutranslate mistari ya MC wa ughaibuni.
Na hichi ndo kinachotufanya tunaofuatilia muziki huu tuone Mc wa sasa hawana jipya!
Heshima itaendelea kubaki kwa kinaa
Hashim Dogo
Chief Ramson - Zavara
K -Single
Faza Nelly R.I.P
Nigger One (Adili) - R.I.P
Sugu
D Rob(Zomba) - R.I.P
Balozi
 
Mbona hao ma Mc wengi mnao wataja ni loser kwenye game?

Dunia inasonga kukaa unapoteza muda just for fun imepitwa na wakati
Mambo ya uMc ilikuwa zamani hivi sasa watu wanafanya muziki ni maisha which means making money

Prof j,AY na FA,Fid q,Chid benz,Joe makini,N2N hawa ndio maMc wa zama hizi, pesa kwanza

Hata ulaya kuna watu bado wanawaponda akina lilywine na drek kuwa si kitu but kiukweli wana make a lot of money kuliko wagumu ambao wamepitwa na wakati

Inawezekana kawa kweli hao akina hashm dogo na ramson wakawa ma real mc lakini uzao huu unawakata, wanaonekana vituko na wahuni fulani hivi
Uzao wa dot com hauhitaji nyimbo ngumu unataka vitu laini na vinavyochezeka

Kuna watu mmewataja hapo toka enzi na enzi masikini hata baskeli hawajawahi kupata kupitia muziki, nasikia tu majina yao lakini muziki haufahamiki wala hawatoki na most of them ni wahuni kupindukia

Nampenda sana prof j anajua kusoma jamii inataka nini, walianza na rap ngumu lakini leo hii prof analisongesha kuendana na mabadiliko ya jamii lakini angejifanya kukomaa na ureal mc angeishia kuvuta bangi na kuwaponda akina FA tu

Prof Jay ansomaa jamii kwa nyimbo zipi za sasa?kutoka Chemsha Bongo, Ndio Mzee, mpaka Kamiligado, Hellow??

Ay wa Binadmu, Machoni kama watu mpaka hapa alipo sasa?

Bado haujanishawishi na maelezo yako
#Jipange
 
Huwezi mtaja Faza Nelly kama real Mc, pasipo kuwataja K-Single, Faza Nelly anaanza game K-Single, D-Rob, Adili(Nigga One), tayari walikua wana run game hii kwa bongo.
Bamiza inamtoa Faza Nelly 99 lakini Kwanza Unit walikua tayari wanafanya game, na nina uhakika hata Faza Nelly wali muinsnpire!
JCB bado hajafiki level hiyo ya real MCs
Jay Moe wakawaidaa sana
Pia hahis haujaelewa maana ya MCs, sio kuaaandika mashairi tu zingatia nguzo 5 za hip hip
Maana kama MCs ni kuandika mashairi hata FA atakuwemo!
Na MCs sio kukaza sauti kama JCB maana hata Chindo Man, Kala Pina na Msema Kweli watakuwemo!
Kifupi MCs wa ukweli Bongo
1.Sugu - bado yupo
2.Faza Nelly - R.I.P
3.Adili(Nigga One) - R.I.P
4.Kibacha(K Single) - bado yupo
5.Hashim Dogo -bado yupo
6.D-Rob - R.I.P
7.Chief Ramso - bado yupo

Pamoja sana mdau, Hao ni majembe ila ukirefer records father Nelly katoka 96 na single ya WACHAGA PIGA CHATA,JCB pia ni mkali ka ukisikiliza Nyimbo zake since Yuko hard core unit utamkubali.. Chief Ramso, k single, dogo Hashimu, D Rob Sugu, Adili hawa ni Bongo greatest mc's of all time hamna ubishi. Then kuna Jay mo huyu namkubali sana. Fid Q ni copy cat sema tu wabongo hatuko MAKINI huyu jamaa kazidi kuiga....Roma mpayukaji, Joh MAKINI Ana soft punch lines, labda wengine wakali kuna Mapacha, Bou Nako, Incredible, Rado hawa wengine ka KINA Lord eyes, Baghdad, nick mmbishi, ezo biznes,mexicana, lunduno, chid benz, jeezy mabovu, jose mtambo media zinawabeba lakini pia kuna waandikaji wazuri ka solo, FA na stamina
F
 
mcee, mtu anayefikisha ujumbe kwa jamii, pia ni element moja ya hiphop, hivyobasi unaweza ukawa unaflow vizuri na bado usiwe mcee, u emcee unajengwa na nguzo zote tano za hiphop 1. DJ, 2. BREAK DANCE, 3. GRAPHICS, 4. FREE STYLE, 5, THOUGHTS, PIA KRS ONE ALIONGEZA MOJA 6. ENTREPRENEURSHIP, SASA UKIFUATILIA HIZI NGUZO ZOTE KWA MCEE WETU WA TANZANIA, UTAGUNDUA HAKUNA ALIYEKAMILIKA KAMA REAL MCEE.

LAKINI WAPO WANAOJARIBU, JMO YUPO KWENYE NGUZO YA 5 (THOUGHTS) PIA FID Q NA WENGINE WENGI, NASH MCEE NGUZO YA TANO PIA YA 4 ILA WENGI WANATIMIZA NGUZO YA 4, 5,

SASA INAKUWAJE TUNAKUKUBALI KWELI WEWE NI REAL MCEE HATA KAMA NGUZO ZINGINE HAUZITIMIZI, JINSI UNAVYO DELIVER MESSAGE KUPITIA RAP(KUGANI) KUNA WATU WANANISHANGAZA, MTU ANASEMA YEYE ANAFANYA HIPHOP HAFANYI RAP KHA" HOW CAN YOU DEMONSTRATE HIPHOP WORDS WITHOUT RAPPING, THE WAY YOU RAP NDIO TUNASEMA KWELI HUYU UNAFANYA CONSCIOUS HIPHOP AU ONLY SWAGA HIPHOP AMBAYO MAMCEES WENGI SANA NOWDAYS NDIO WANAFANYA. LAKINI REAL HIPHOP INAJEGWA NA CONSCIOUS LINES, CONSCIOUS LINES ZINASABABISHA MTU ANAITWA MCEE.
 
Back
Top Bottom