vipi bro unamjua huyu mtu Hashim Dogo
Da namfahamu sana jamaa naona hafanyi mziki kwa sasa hila jamaa was real mc!! nikisikiza mapini yake tunasonga,in da shaddow,saa za kazi etc jamaa mzima sana kwenye mic
Mfuatilieni mtu anaitwa chief ramso ambaye kwa sasa anajiita zavara ndo mtajua nani anastahiki kuitwa mc wa bongo,nash emcee anaonekana anaijua hip hop kwa kuwa anapita anapopita zavarra na hata ukisikia nash anavyochana na mitambao utaona kuna mfanano kati yake na zavvara
Mtafute stamina pluc roma zen bagdad
roma namkubali mimi