Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
We jichanganye.... Jidanganye utabakiwa mke mchana kweupe na mwinjilisti
 
We jichanganye.... Jidanganye utabakiwa mke mchana kweupe na mwinjilisti
Wee unahisi Dunia bila SHERIA zake za kiserikali ingekuaje ?? Maov yangekua mengi au kidogo??

Je uwepo wa SHERIA hizo kumefanya Maovu yasiwepo kabisa ??.


SHERIA za Mungu zipo kama KIOO .



Huo ndio ukweli !!.
 
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.

Mithali 31:30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom