Odongo ashinda shindano la pombe na kufariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Odongo ashinda shindano la pombe na kufariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fige, Jan 31, 2011.

 1. fige

  fige JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa ya habari ya luninga ya citizen imetoa mkasa huo kwenye taarifa ya habari ya saa moja jioni.

  Kisa kilikuwa hivi ,kuna mwenye club moja alitangaza shindano hilo na kwamba zawadi kwa mshindi ilikuwa kshs 500/= tu.

  Washiriki walikuwa wengi lakini mwisho wa mechi Odongo aliibuka mshindi na ndipo alipoondoka akishangilia.Lakini alipofika nyumbani aliamua kulala baada ya ulevi kumzidi ndipo damu zilanza kutoka puani na mdomoni na hatimaye kifo.
  Pamoja na Odongo kufariki moja aliishia kulazwa na mwingine kaishia kuwa chizi (kichaa).


  Source tv citizen kenya
   
 2. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Katika mashindano yoote katika dunia hii...Mtu unaenda shiriki Mashindani ya kunywa POMBE????????????????????
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  he died trying....(get rich or die tryn)
   
Loading...