Odong kamanda wa kukumbukwa udsm!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Odong kamanda wa kukumbukwa udsm!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 22, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,610
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Hakuna ambae ataacha kulia na kusikitika kwa kitendo hiki kichafu kilichofanywa na wanaccm na serikali yao!!!kama kumfukuza mpiganaji wa haki za wanafunzi pale chuo huyu si mwingine kamanda odong odwar!!!
  hakika ni mengi alikuwa akipigania juu ya haki za wanafunzi na kutokana
  na siasa za ccm kuweka rais wao pale chuoni ambae atawafwata na kuwasikiliza matakwa yao hii imefanya kamanda wetu kdhiirisha jamii kwamba sauti ya watu sauti ya mungu ni pale alipogombea urais ,na kabla mambo hayajawa swafi komrede MKANDARA akiongizwa na mafisadi wenzake wakaamua kuuairisha uchaguz ule,na kuweka wao kama wao na mwisho kuchagua mtu wanaemtaka,,bado bunge la daruso likashin=dwa kumuidhinisha
  aliechaguliwa na wakina MKANDARA!!!,
  Leo hii mgomo unatokea kila kona ya chuo pasipo kuwa na akili,IGP na takataka wenzake wakaanza kutangaza wameanza kuwapa wahusika wa mgomo,,wakamkamata JENERALI ODONG,JE SERIKALI NAOMBA MJIULIZE
  ODONG ANASOMA CHUO CHA SUA,,ODONG ANASOMA CHUO CHA MKWAWA??
  ODONG ANASOMA DIT,JAMANI ODONG ANASOMA SAUT!!

  EMBU NYIE JIFIKIRIEN KABLA YA KUROPOKA KWENYE MAGAZETI JAMANI MNATUTIA AIBU KABISA!!!!MKANDARA URAFIKI WAKO NA JK WA KUCHAGUANA USIKUFANYE UWE MJINGA WAKATI WEWE NI KICHWA ,KAMA NJAA PESA UNAZO HATA KAMA ULISHIRI NA EPA KIDOGO@,,

  TUNAOMBA UBALOZI WA UGANDA MLIFWATILIE HILI KUONDOA MANYANYASO KWA WAGANNDA WALIOBAKIA PALE CHUO,,HUU NI UNYANYASAJI WA KIJINSIA
  NA KAMA SERIKALI ITASHINDWA KUTOA SABABU ,,NA NYIE FUKUZIEN MBALI WATANZANIA WALIO MAKERERE NA VYUO VILIVYOBAKI,,

  NENDA ODONG TUTAKUKUMBUKA DAIMA
  KILA LA KHERI KAMANDA ODONG!!!!
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2013
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa siku hizi yuko wapi? simsikii tena
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,771
  Likes Received: 2,507
  Trophy Points: 280
  nasikia anafanya kazi south sudan
   
 4. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2013
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nime log in kwa ajili ya hii post, umenikumbusha mbali sana mkuu enzi hizo Odong alikuwa anajulikana chuo kizima, do you remember this? mmoja anaanza ODOOOOOOOOONG wengine wanaitikia ODWAAAAAAAAAAAAAAR
   
 5. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2013
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  ilikuwa mzuka sana ilifika wakati ilikuwa kama salamu ukikutana na mwenzako unamfahamu baada ya kumwambia oya mambo unapiga odongggggggggg naye bila hiyana anajibu odwaaaaaaaaaaa.

  Mtu akisoma akichokaanawaaga wenzake odongggggggggg wanajibu odwaaaaaaaaaa
  kule mabibo hostel watoto nyuma ya ukuta wakati mwingine wanarusha kwa sauti odonggggggggggg wanafunzi ndani ya rooms wanajibu odwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  chezea ile wakati
   
 6. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2013
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Odong Odwar,mpiganaji halisi
   
 7. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2013
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Odoooooooong!
   
 8. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2013
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Namkumbuka vizuri sana, personally he was one of my good friends, tulikuwa tukiongea mengi sana na I was very inspired na harakati zake, alikuwa anaota kuwa politician ambaye atamng'oa Mu7 kwa kura au mtutu wa bunduki, baba yake alishafukuzwa Uganda na by that time alikuwa anaishi uhamishoni, iliuma sana kuona Odong anakuwa declared Persona non grata na kuondolewa nchini kama gaidi.
   
 9. jashmoe32

  jashmoe32 JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Wana if ukitaja hilo jina yan lazima mtu umkumbuke if and only if umesoma UDSM mana jamaa alikua 1 of da best,
  @ Hall 6,ulikua ukiona umechoka kusoma unaanza Odooooooooooooooooong
   
 10. Goodluck Mshana

  Goodluck Mshana JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2013
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 1,168
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa mmenikumbusha enzi za ujana wangu! Unapo mwongelea Odong Keffar Selas Odwar huwezi kumtenganisha na mwanaharakati Owawa Stephen. Huwezi msahau na Julious Mtatiro. Nataka kusema Odong alikuwa na kipaji na uwezo wa ajabu kushawishi na kuchambua mambo! Hakuwa anabwatuka kama kina Mlowe wala hakuwa msaliti kama kina Bush (sasa mwajiriwa wa udsm), jamaa alikuwa na uthubutu wa kuhoji utendaji mbovu wa ma-ccm. Aligusia ule mkataba wa kipuuzi wa mlimani city uliosainiwa kwa miaka 50 ya uwekezaji!! Oooo meeen...Odong wakambambikizia zengwe la 'uhamiaji haramu'. Ndege fasta wakamrudisha UG. Lakini nilifanikiwa kuongea naye. Odong aliniahidi kuwa atarudi tz. Nami nikamwambia karibu tena mwanamapambano. Hata Museven anayejidai kututenga na wahuni wenzake kwenye EAC, alisomea UD na akarudi tz akiwa raisi wa jamhuri ya watu wa UG. Hivyo sitoshangaa kumuona Odong akirudi tz na status mpya. Huko ulipo tunakukumbuka sana na harakati zako kamanda Odong. Wishing u a swift coming back to tz!!
   
 11. jashmoe32

  jashmoe32 JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2013
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  The guy was tgd na alikua na kipaji mana kila neno analolitoa linakugusa mpaka mtu unajiunga katika mgomo
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2013
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,610
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280


  umeruka u bana wanajibu odu---------waaaaaaaaaaaaaaaaarrrrrrrrrrrrrrr we acha tu
   
 13. mangosutu

  mangosutu JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2013
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 180
  ilikuwa inapigwa pale hall 2 odooooooooong utasikia hall 3 wanajibu odwaaaaaaaa
   
 14. O

  Onguluo JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2013
  Joined: Aug 4, 2013
  Messages: 386
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ee bwana Odong Odwar ni kichwa hadim, namfananisha na late John Ngarang' wa southen sudan. Jamani na Machibya naye hatujamsahau!
   
 15. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2013
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Alikuwa Anatisha!
   
 16. M

  Mwanakwaya Member

  #16
  Oct 30, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengine tulipita zamani kidogo UDSM. Huyo Odong ni nani na alikuwepo UDSM mwaka gani?
   
 17. bily

  bily JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2013
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 8,035
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  alikuwa mganda huyu jamaa bonge la Kamanda.

   
 18. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2013
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Odwaaaaaaaaar! Hapo those days umetoka library umepiga msuli mbaya uko njiani unarudi room kama wimbo vile odooooong anaeitikia hata humuoni lakin lazima uitikiwe
   
 19. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2013
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Alikuwa swaiba wake sana Silinde David na Owawa hapo ilikuwa president odong, silinde vice then Owawa Stephen waziri mkuu Mukandala angekimbia UDSM
   
 20. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2013
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamaa alikua mganda mkuu ilikua academic year 2007/2008 walimpa agombee upresident wakijua atakosa suport coz si mtz but akawashika sana watu akifanyiwa kampeni na David Silinde na Owawa Steven,siku moja kabla ya uchaguzi wakamtoa kugombea na uchaguzi ukaahirishwa hapo ndipo wanachuo wakavurugwa sasa salamu ikageuka kuwa Odoooooong(kwa sauti kubwa) mwingne anaitikia Oduwaaaaaaaar
   
Loading...