Odometer imefutika

Kabla haujaangalia gear wala kusumbuka zaidi. Hapo kwa chini kwenye dashboard kuna kibox ukifungua kina fuse nyingi, angalia kwenye mchoro wa circuit ipi inahusika na odometer. Huenda imelegea au imekufa.

Kila la kheri
 
Hii ninayo tangu 2014 na siiuzi kamwe. Kuendesha hii lazima uwe mwanaume. Kwa mwezi wese si chini ya 400,000. Ila sasa hivi naitumia kama back up
Mkuu acha misifa, gari yenyewe unatumia reserve tank, kaongeze mafuta angalau angalau nusu tank itasomq hizo milage.
 
Mkuu acha misifa, gari yenyewe unatumia reserve tank, kaongeze mafuta angalau angalau nusu tank itasomq hizo milage.
IMG_20190603_063602.jpg
mafuta yanauhusiano gani na readings hizo?
 
Wakuu gari yangu GX100 Cresta imefutika mileage kwenye odometer. Leo ndio nimeshtukia mpaka sasa hivi ina 256,000km. Kuna mwenye uzoefu na tatizo hili?View attachment 1115159
Mrejesho:Nimewasha gari Leo asubuhi,readings zimerudi kama kawaida
View attachment 1115882
Kwaharaka haraka hapo mkuu cluster hiyo inaweza kuwa na dry joint huo ugonjwa upo sana kwenye suzuki S kubwa /tanapa..cha msingi hapo kama ww sio fundi mtafute fundi umeme atoe hizo dry joint...

Kingine mbapopewa ushauri hapa jukwaani sio kwamba ndio tiba mkafika kwa mafundi mkaanza kuwaelekeza wafanye hivi na shida ipo hapa..

Ishanikuta hiyo yaani passo ilikuwa inazingua kuna uzi mmoja nikawa nimechangia kuna member akaja nikamlekebishia sasa kuna rafiki yake naye akawa na passo inamzingua ugonjwa ni ule ule lkn sababu ya ugonjwa ni tofauti yeye ananambia hapana cheki sensor mm namwambia hapana hii tunepima ina sema valve..mwishowe kunikosoa vizuri akafungua jf na kunionyesha thread husika nikacheka nikamkubalia ..nikamwambia umeleta gari kwa fundi wacha nikutengenezee lkn ww usinifundishe..
 
Mkuu I thought you said ilikuwa na 256,000km, imekuwaje ODO inasoma 36k? Au ni macho yangu
Sio 36k btw. Hio ni Trip counter A 3631.2km. Unahitaji nikwambie Trip counter maanake nini? Zipo mbili Trip A na Trip B counter then the main mileage counter .
Hizo A na B unatumia kuhesabu km kwa trip utakayo na unaweza kuzifuta. Hio A huwa natumia kuhesabu km za service,hapo zishazidi 3000km ambayo ndio huwa limit yangu kwa service.
 
Back
Top Bottom