Odinga apinga tarehe mpya ya uchaguzi Kenya

Toa ulevi wako hapa mbona awamu ya kwanza mliiba? Nasa ushindi mapema tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sinywi pombe mimi. Nina kura yangu, we unayo? Tulia huko huko vijiweni, ngoja tumalize kampeni kwanza! Sitapoteza muda wangu kubishana nawe! Soma hukumu ya mahakama afu ukimaliza anza kusoma katiba ya Kenya kila siku kama bibilia. Labda utaelewa tunachofanya, angalau hata kidogo tu. Hii haiwahusu watu wa Chato, inawahusu wakenya pekee yake!
 
Jamaa ako selfish
eb32f6c7d00a6d20330b977c8aa1e85b.jpg
 
Odinga ana ujinga na ubinafsi mwingi sana.Hiyo tume iko na jina linasema INDEPENDENT sasa ni vipi utaenda kuwashauri au wao kungoja ushauri wako juu ya lini uchaguzi utafanywa ama ni nani atakuwa msimamizi wa huo uchaguzi?
 
Odinga hajasema wasikilize ushauri wake tu.

Tuhuma zake ni iweje aliowatuhumu wezi washauriane juu ya jinsi ya kupiga kura pasipo kushirikishwa.

Alafu wezi walewale ndio wasimamizi tena.

HII NAYO NI UBINAFSI?
 
No si mtu wa kupinga ana substance sasa mahakama ilifuta uchaguzi wa raisi na kusema ni batili basi na wengine waruhusiwe au nao wataenda mahakamani.
Pili waliosababisha ufutwe waachie ngazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom