Aliwa ni mme wa wake wengi mke mmoja wapo wa kwake ni Dr. Mariam Ongara aliyekuwa ni Mganga mkuu wa wilaya ya Bagamoyo.
Hapana. Mzee Odilo ni mjaluo wa Rorya kule Utegi.Alikuwa na uhusiano wowote na Remmy Ongara ?
AliKUwa ni mme wa wake wengi mke mmoja wapo wa kwake ni Dr. Mariam Ongara aliyekuwa ni Mganga mkuu wa wilaya ya Bagamoyo.
Wajaluo waliowahi kushika madaraka makubwa TZ
Mzee Opio
Sylvanus Adel
Mzee Odunga
Mzee Ongara
Malizia...............!
mabere nyaucho marandoWajaluo waliowahi kushika madaraka makubwa TZ
Mzee Opio
Sylvanus Adel
Mzee Odunga
Mzee Ongara
Malizia...............!