Odc wa nzega kumfyatulia mwananchi risasi bar akidhani jambazi

jovitha mussa

Member
May 2, 2012
75
35
jana tarehe 16/06/2012 katika bar maarufu ya nzega inayoitwa Grandvilla ocd aliyetajwa kwa jina la sarungi alimfyatulia risasi ya paja kijana aliyekuwa anaingia baani hapo.

tukio hilo lilitokea wakati naegesha gari langu nikitokea mwanzakuelekea tabora majira ya saa tatu na nusu usiku nje ya bar hiyo ili nipate huduma ya chakula.

wanachi walisema kuwa kijana huyo ni dereva wa kampuni ya barabara ya CCCC na sio jambazi wala mtu hatari ila inawezekana ocd intelijensia yake ili-fail.

vijana wenzake na mjeruhiwa walieleza kwa malalamiko kuwa ocd amelewa.
 
Kabla sijasoma vizuri odc ni cheo kipya?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom