OCD, Zuberi Mwombeji afunguliwa jalada kwa kuwaita panya wana A TOWN

The interesting part of it. Hivi watu walipelekwa mahakamani hata kabla ya uchunguzi kufanyika, hii si kuiongezea idara ya mahakama mzigo kwa kesi zisizo na ulazima?

Wakuu,

hata mimi siko mbali sana na maoni kama hayo yaliyotolewa hapo juu, japo sioni ajabu kwa kesi dhidi ya Mh. Lema mbunge wangu kufunguliwa mahakamani kabla hata ya uchunguzi kwani si mara ya kwanza kusikia hayo yakifanyika, japo sifahamu kama huo ndio utaratibu sahihi wa sheria, kwani mimi si mwanasheria.

Ila, kinachonipa wasiwasi mimi ni hili la Mh. Lema na OCD Zuberi kufunguliwa 'jalada moja' la uchunguzi! Ina maana nature ya makosa wanayotuhumiwa nayo yanafanana kiasi cha kufunguliwa 'jalada moja' la uchunguzi ??

Ok, Mh. Lema kishafunguliwa kesi tayari, je ina mana OCD Zuberi akipatikana na hiyo hatia anayodaiwa kuchunguzwa nayo naye pia ataunganishwa kama mtuhumiwa kwenye Kesi hii ya Mh. Lema na Wenzake 18??

Na kama hivyo ndivyo, je ni vipi sasa OCD Zuberi yeye anakuwa uraiani bado, wakati Mh. Lema na wenzake 18 washafunguliwa kesi tayari mahakamani??

Learned brothers, hivi hii imekaaje jamani, em naomba msaada wa hekima zenu kidogo!
 
Filing a case is one thing but observation of justice is another important yet difficult thing to happen given bad record of our legal authorities. They probably have to launch an independent committee to investigate into the allegations but not relying on same corrupt organs to expect fairness and justice.


Siku zote in a history of mankind mtu akiongoka huwa na busara za hali ya juu .Kwa mfano Saulo then Paulo mwandishi mkubwa wa kirumi nyakati za Yesu .Leo wote tunaona Mwita25 akili zake zimekuwa na akili baada ya kugundua hata wale walioua Tarime kule nyamongo ni kwa kuwa in my country have no justice fairness na leo anamwaga ya ukweli .Uzidi kubarikiwa usije kengeuka na akili yako izidi kuwa na akili .
 
Na akibainika ametutukana viboko
kumi nambili wkt anaingizwa gereza la kisongo na kumi na mbili wakati anatolewa,ili wjifunze maadili mema vizuri
 
Filing a case is one thing but observation of justice is another important yet difficult thing to happen given bad record of our legal authorities. They probably have to launch an independent committee to investigate into the allegations but not relying on same corrupt organs to expect fairness and justice.

wanalijua hili,ila wanafanya makusudi tu
 
Huyo OCD hafai kuongoza katika mji wenye changamoto nyingi kama Arusha. Hana busara na hekima na niko na shaka na elimu yake. Naona ni Mahita type,upolisi wa kutumia minguvu bila busara.Apelekwe Mafia akijidai ujanja wambebeshe mshipa!
 
Kumbe kuna kipindi mwita uwa unapata nafuu ya matatizo yako ya akili!!

Mwita25 amebadilika sana siku hizi, nafikiri amechoshwa na kuongea uongo ilihali ukweli anautambua, Dhamira kwa mtu mweny moyo safi huwa inamsuta.

Hongera sana Mwita25. umeuona ukweli na umeusimamia.
 
Kama "kwel" alsema hvo nnawacwac na ubongo wake utavosomeka kwa wale wengne waliolelewa ktk mazngra ya kanisa au mskiti, Ambao kwao hawataishia ktk neno panya bal kutafsr maisha na matendo halis ya panya na kuhusianisha na bnadam.
ITAWAUDHI NA ITAWAKERA.
Masiktko yangu n kwamba baada ya tafsr na kukacrka watabak nalo moyon. Kama ambavyo miaka kadhaa ilyopta watu walvoishia kukasrkia (bla hatua yeyote)kaul ya wazr wa fedha wa wakat huo (mramba) alpotaka kununua ndege ya rais.
 
Hivi uleutaratibu mpya kwamba mtuhumiwa hapelekwi mahakamani mpaka ofisi ya DPP ilizike kuwa kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa umeishia wapi?. Maana utaratibu huu ungesaidia kuondoa hii tabia ya Mapolisi kubambikia watu kesi za kijingajinga.
 
Jamani nyie mnaomjadili Ustadh ZUBERI humu jamvini mnataka BAKWATA watusomee itqaf? Ohoooooo shauri yenu.
 
Alitakiwa awe suspended wakati uchunguzi ukiendelea. Cha kushangaza uchunguzi huo utafanywa na polisi...watch.
 
Huyo Kaimu RPC hajui kwamba ametafuta kitanzi cha kujinyonga mwenyewe anatangaza kwamba amefungua jalada la zuberi wakati akina Lema chini ya masaa 24 walikuwa wametinga mahakamani,atakuwa na jibu kweli au ndio amefungua uwanja wa wananchi kudai kumuona zuberi mahakamani kwa sababu kama ni kinga ya kipolisi mbona Lema kanyimwa kinga ya kibunge
 
Back
Top Bottom