TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,795
Ni ndugu yetu Innocent Flex ametwaliwa na Bwana usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Chalinze. Mpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi ikabidi akimbizwe hospitali asubuhi lakini hakufika

Kabla ya kuwa OCD Chalinze alikuwa OCD Kibaha.

Mwili uko mochwari Tumbi hospital.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

OCD Chalinze.JPG

Jr
 
Yule mpare mwenzako. Mange anasema kirusi kimebadilika na kweli wataalamu wanasema kimejibadilisha ma kuwa deadly.

Kile cha wuhan na usa sio cha Africa.
Cha mbele kinakupa muda kidogo ila cha bongo kinakuchukua fasta.

Wabunge .. waliokufa na huyu wameondoka kwa muda mfupi sana
 
Back
Top Bottom