OCD, Afisa Usalama Hai, RPC Afisa Usalama Mkoa wa Arusha walikuwa wapi wakati Sabaya anatenda uhalifu?

mbuzi wa kafara ameshaokwaaaaa wa kufurahi wamefurahi na wakulia wamelia

tusonge mbele majingu mwiko
 
unajua namna afisa usalama mkoa na wilaya wanavyofanya kazi???? ushawahi kuwaona hadharini??? ushawahi kuwaona wakikamata??? ukipata majibu ya haya utajiona mtupu kichwani
 
Naona machadema mnajaribu kuzidi kukuza mambo, baada ya kuona mmeunda njama na kushinda kesi dhidi ya Sabaya mnazidi kutafuta namna bora ya kuvuruga utawala sasa sio? hilo mnalotafuta sasa mmefika mwisho, hamridhiki na hukumu mnazidi kuchokonoa mambo tu
Kumbe chadema tena bac sawa
 
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote.

Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA

Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda uhalifu huo ila kwa kutumwa na mamlaka Watendaji hao Wangechukulia hatua kali kwa kutokumchukulia hatua Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia uhalifu huo kutendeka ili kuthibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA

Tunaziomba mamlaka husika ziwachukulie hatua wahusika wote
Jambaka baya ashasema alitumwa toka juu na kubwa lamaadui kabisa mbona hamuelewi??
Hata wakubwa wengine mfano katelefoni waliambiwa jambaka baya linasumbua lkn hawakuweza kuingilia mpaka kubwa lamaadui lilipodedi.
Jambazi alipelekwa kwakina Mbowe na Lema ili akawapige wajomba na mashangazi zao vile kubwa lamaadui lilivyotakaga kuwapiga mashangazi wa katelefoni.
Msilaumu vidagaa mapapa yenyewe hayakuthubutu kuingilia!! Ndowatu wajue katiba mpya ni unavoidable...
Mliposema nchi inahitaji mtu dikteta alafu katiba yahivihivi mlidhani nini? Bongo bana
 
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote.

Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA

Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda uhalifu huo ila kwa kutumwa na mamlaka Watendaji hao Wangechukulia hatua kali kwa kutokumchukulia hatua Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia uhalifu huo kutendeka ili kuthibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA

Tunaziomba mamlaka husika ziwachukulie hatua wahusika wote
u啦佢啊。unajua job descriptions za hao uliowataja katika manne yao ya kazi ama! Cha kukushauri kusanya pesa ya kumlipa wakili kwa ajili ya appeal

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mkuu wa mkoa mtoe kabisa mkuu huyu mtoto alikuwa anamdharau vibaya sana sidhani kama yule mama alikuwa anamwambia kitu akaelewa.

Kulikuwa na clip moja mtandaoni mkuu wa mkoa wa wakati huo aliitisha mkutano akawa anazungumza kuhusu utendaji kazi wa vyombo vya dola usivyokuwa mzuri alipofikia kuzungumza kuhusu mkuu wa wilaya Sabaya alifanya kitendo cha dharau sana (body language) ni kama alisema “huyu m@lay* anasema nini huyu”?
 
Dawa ni Katiba mpya
Tuwe realistic watachukua hatua gani wakati kijana anafanya ujambazi kwa maagizo ya mkuu wa nchi?

Kwa mfumo wetu hapa Tanzania wasingeweza kufanya chochote, RPC alijitahidi kujiweka kando and that is all he could do.

Ndiyo maana majambazi wenzake na Sabaya walikuwa wanatoka Dar, akiwepo Kingai na Mahita, ni wazi kuwa vyombo vya ulinzi na usalama Kilimanjaro havikuwa vinampa ushirikiano kihivyo.
 
Naona machadema mnajaribu kuzidi kukuza mambo, baada ya kuona mmeunda njama na kushinda kesi dhidi ya Sabaya mnazidi kutafuta namna bora ya kuvuruga utawala sasa sio? hilo mnalotafuta sasa mmefika mwisho, hamridhiki na hukumu mnazidi kuchokonoa mambo tu
Tatizo la AKILI NDOGO sio kila anayemzungumzia Sabaya ni Chadema Ni mwehu tu ndio Hajui Kama Sabaya Kafungwa kwa Kutenda MAOVU
 
unajua namna afisa usalama mkoa na wilaya wanavyofanya kazi???? ushawahi kuwaona hadharini??? ushawahi kuwaona wakikamata??? ukipata majibu ya haya utajiona mtupu kichwani
Kweli huna ujualo hujui kabisa kazi zao bado una Mawazo ys kizamani Maafisa usalama tunakunywa nao Pombe mitaani Wamepanga Nyumba zetu
 
Naona machadema mnajaribu kuzidi kukuza mambo, baada ya kuona mmeunda njama na kushinda kesi dhidi ya Sabaya mnazidi kutafuta namna bora ya kuvuruga utawala sasa sio? hilo mnalotafuta sasa mmefika mwisho, hamridhiki na hukumu mnazidi kuchokonoa mambo tu
Siyo Chadema, WAPENDA HAKI ndio wamefurahia hii hukumu, genge la ujambazi wamesikitika.
 
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote.

Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA

Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda uhalifu huo ila kwa kutumwa na mamlaka Watendaji hao Wangechukulia hatua kali kwa kutokumchukulia hatua Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia uhalifu huo kutendeka ili kuthibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA

Tunaziomba mamlaka husika ziwachukulie hatua wahusika wote
May be at that time OS was above & beyond the existing laws and norms hence they couldn't and were not in a position to do anything but rather let things flow on their own.
 
Naona machadema mnajaribu kuzidi kukuza mambo, baada ya kuona mmeunda njama na kushinda kesi dhidi ya Sabaya mnazidi kutafuta namna bora ya kuvuruga utawala sasa sio? hilo mnalotafuta sasa mmefika mwisho, hamridhiki na hukumu mnazidi kuchokonoa mambo tu
Ndugu,
Waliowanga nae na waliompa na kumfikishia maagizo WOTE wana dhambi kama waliokutwa nayo SABAYA na washirika wake.
Ili kuanza kuisafisha nchi yatakiwa nao wachukuliwe hatua.
Katiba ya nchi iliyopo ina udhaifu mkubwa katika swala la uwajibikaji ndio maana hata nawe wajitoa haya kama afanyavyo Ndugai,kujivunia kutetea dhambi ya uonezi na kutesa wananchi.
Nchi hii ni yetu sote hatutatulia mpaka tupate Katiba mpya. AMEN
 
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote.

Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA

Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda uhalifu huo ila kwa kutumwa na mamlaka Watendaji hao Wangechukulia hatua kali kwa kutokumchukulia hatua Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia uhalifu huo kutendeka ili kuthibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA

Tunaziomba mamlaka husika ziwachukulie hatua wahusika wote
Kifupi tu ni kwamba wote hao walikuwa wanafanya naye kazi, OCD wa Hai alikuwa anatembea naye kwenye matukio sio kwamba hawakujua walipeana sapporti na ndio waliokuwa wanampa silaha za kutekeleza yote haya
 
Kwenye utetezi wake alisema alikua akipokea maagizo kutoka juu
Maagizo ya serikali yanatolewa kwa waraka maalumu . Sasa tutajuaje kama kweli alipewa maagizo au anamsingizia Hayati JPM.?
Hana ushahidi wowote kuwa alipewa maagizo toka juu ? Angekua na ushahidi angalau tungemwamini lakini inaonekana yeye alikua anajipendekeza kwa kufanya ubabe na kupora Mali za watu.
Kama mtu amekwepa kodi na DC amepata taarifa basi wanaitwa polisi na TRA na kukamata Mali za uhusika na kuzizuia ili alipe Kodi sio DC mwenyewe kudai pesa kwa kiwango anachotaka yeye tena kwa kutumia silaha

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Tusiwe vichwa maji tusisahau mwenyekiti wa chama na rais wa jamhuri yamuungano Tanzania awamu yatano alikua anashaurika????

Usikute hao unaowataja walifanya kazi yao kwenye utekelezaji ikawa ngumu ngazi husika kwasababu ya magufication

Tujiulize ilikuaje mama alivoingia tu akaaza nae yeye mojakwamoja au mnataka msema au tuhisi kwamba olesabaya akiwa dc alimpiga Bibi mkubwa saundi mama analipiza jibu nadhani ni hapana
 
Yaliyokuwa yanafanyika kipindi hicho hata kama ingekuwa wewe ndiye OCD wa Hai, Afisa usalama wa Hai, au Afis usalama mkoa Wa Kilimanjaro, ni lazima Tu ungeyaunga mkono, chaguo lilikuwa ni moja Tu. Unga juhudi ili uendelee Kutembelea V8
 
Naona machadema mnajaribu kuzidi kukuza mambo, baada ya kuona mmeunda njama na kushinda kesi dhidi ya Sabaya mnazidi kutafuta namna bora ya kuvuruga utawala sasa sio? hilo mnalotafuta sasa mmefika mwisho, hamridhiki na hukumu mnazidi kuchokonoa mambo tu
Ocd wa hai ameonekana mara nyingi sana akishirikiana na jambazi sabaya kufanya uhalifu wa hapa na pale,kwa hiyo naye alipaswa kuchunguzwa
 
Back
Top Bottom