OCD, Afisa Usalama Hai, RPC Afisa Usalama Mkoa wa Arusha walikuwa wapi wakati Sabaya anatenda uhalifu?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote.

Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA

Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda uhalifu huo ila kwa kutumwa na mamlaka Watendaji hao Wangechukulia hatua kali kwa kutokumchukulia hatua Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia uhalifu huo kutendeka ili kuthibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA

Tunaziomba mamlaka husika ziwachukulie hatua wahusika wote
 
Wadau Haiingii Akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya UHALIFU kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii HATUA ZOZOTE.
Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA
Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda UHALIFU HUO ila kwa KUTUMWA na MAMLAKA Watendaji hao Wangechukulia HATUA KALI kwa KUTOKUMCHUKULIA HATUA Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia UHALIFU HUO KUTENDEKA ili Kuthibitisha kuwa NCHI inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA Tunaziomba MAMLAKA HUSIKA Ziwachukulie HATUA WAHUSIKA WOTE
Hai ipo Moshi Kilimanjaro.....
 
Tuwe realistic watachukua hatua gani wakati kijana anafanya ujambazi kwa maagizo ya mkuu wa nchi?

Kwa mfumo wetu hapa Tanzania wasingeweza kufanya chochote, RPC alijitahidi kujiweka kando and that is all he could do.

Ndiyo maana majambazi wenzake na Sabaya walikuwa wanatoka Dar, akiwepo Kingai na Mahita, ni wazi kuwa vyombo vya ulinzi na usalama Kilimanjaro havikuwa vinampa ushirikiano kihivyo.
 
Wadau Haiingii Akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya UHALIFU kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii HATUA ZOZOTE.
Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA
Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda UHALIFU HUO ila kwa KUTUMWA na MAMLAKA Watendaji hao Wangechukulia HATUA KALI kwa KUTOKUMCHUKULIA HATUA Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia UHALIFU HUO KUTENDEKA ili Kuthibitisha kuwa NCHI inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA Tunaziomba MAMLAKA HUSIKA Ziwachukulie HATUA WAHUSIKA WOTE
Naona machadema mnajaribu kuzidi kukuza mambo, baada ya kuona mmeunda njama na kushinda kesi dhidi ya Sabaya mnazidi kutafuta namna bora ya kuvuruga utawala sasa sio? hilo mnalotafuta sasa mmefika mwisho, hamridhiki na hukumu mnazidi kuchokonoa mambo tu
 
2EB667B7-B5FD-4F13-9CD7-37F6A0051E9F.png
 
Sabaya alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na uliowataja walikuwa chini yake.
 
Katika uhalifu aliokuwa akiufanya Sabaya, aliyekuwa akisikika kidogo katika kukemea ni Hayati Anna Mghwira aliyekuwa RC wa Kilimanjaro, wengine wote walikuwa kimya na huenda waliagizwa wampe Sabaya ushirikiano wa kutosha.

KUTOKA GEREZANI KISONGO, SABAYA AMEWAELEZA WATU KADHAA WALIOMTEMBELEA LEO:

"Baada ya kazi kubwa, ngumu na ya hatari niliyofanya kwa maelekezo ya rais, nikaingiza kwenye system watu kama Kallist Lazaro, Joshua Nassari, na Albert Msando; haya ndiyo malipo niliyostahili?"

IMEVUJA!
 
Wadau Haiingii Akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya UHALIFU kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii HATUA ZOZOTE.
Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA
Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda UHALIFU HUO ila kwa KUTUMWA na MAMLAKA Watendaji hao Wangechukulia HATUA KALI kwa KUTOKUMCHUKULIA HATUA Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia UHALIFU HUO KUTENDEKA ili Kuthibitisha kuwa NCHI inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA Tunaziomba MAMLAKA HUSIKA Ziwachukulie HATUA WAHUSIKA WOTE
Maagizo kutoka juu full stop
 
Naona machadema mnajaribu kuzidi kukuza mambo, baada ya kuona mmeunda njama na kushinda kesi dhidi ya Sabaya mnazidi kutafuta namna bora ya kuvuruga utawala sasa sio? hilo mnalotafuta sasa mmefika mwisho, hamridhiki na hukumu mnazidi kuchokonoa mambo tu
Uovu wote lazima usemwe, wote walioshiriki kwa namna yoyote kukandamiza haki za kiraia wakati ule wa mwendazake kwa kisingizio yalikuwa maelezo kutoka juu lazima wachukuliwe hatua kisheria. Sabaya asitumike kama mbuzi wa kafara.
 
Wadau Haiingii Akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya UHALIFU kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii HATUA ZOZOTE.
Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA
Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda UHALIFU HUO ila kwa KUTUMWA na MAMLAKA Watendaji hao Wangechukulia HATUA KALI kwa KUTOKUMCHUKULIA HATUA Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia UHALIFU HUO KUTENDEKA ili Kuthibitisha kuwa NCHI inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA Tunaziomba MAMLAKA HUSIKA Ziwachukulie HATUA WAHUSIKA WOTE
Pjm aliwachukia akina mareale so walivyokuwa wakitendewa yeye alifurahia Sana moyoni kuwa waumizwe Mana aliwachukia Sana.
Ingawa mie sipendi visasi na chuki kisa mtu akakuzidi ama ukabila
 
Inasemekana kuna mmoja huyo hawezi kutoka nje ya nchi sasa ivii.....na ametulia tuliii
 
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote.

Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA

Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda uhalifu huo ila kwa kutumwa na mamlaka Watendaji hao Wangechukulia hatua kali kwa kutokumchukulia hatua Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia uhalifu huo kutendeka ili kuthibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA

Tunaziomba mamlaka husika ziwachukulie hatua wahusika wote
Alikuwa anapewa maelekezo kutoka juu sasa hao uliowazungumzia wasingeweza kufanya kitu maana Kila mtu anaheshimu mamlaka iliyomuweka
 
Nani angemsema wakati alikuwa anapokea maagizo moja kwa moja kutoka kwa aliyekuwa mungumtu? Ndugu huwezi kuwalaumu kipindi kile nchi ilikuwa imetekwa na shetani mwovu akisababisha mateso na taharuki kwa wanasema.
 
unajua namna afisa usalama mkoa na wilaya wanavyofanya kazi???? ushawahi kuwaona hadharini??? ushawahi kuwaona wakikamata??? ukipata majibu ya haya utajiona mtupu kichwani
 
Wadau haiingii akili kuona Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI Sabaya Anatenda Vitendo vya uhalifu kwa Wananchi huku Viongozi Wafuatao Wapo na Hawamchukulii hatua zozote.

Viongozi hao ni Pamoja na
OCD wa HAI
AFISA USALAMA wa HAI
AFISA USALAMA MKOA wa MKUU WA MKOA

Nilitarajia Baada ya Sabaya kukiri kutenda uhalifu huo ila kwa kutumwa na mamlaka Watendaji hao Wangechukulia hatua kali kwa kutokumchukulia hatua Sabaya lakini mpaka sasa Wapo HURU Wakati walichangia uhalifu huo kutendeka ili kuthibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa UTAWALA wa SHERIA

Tunaziomba mamlaka husika ziwachukulie hatua wahusika wote
CCM imetengeneza kamfumo fulani Dhalimu, eti Wana CCM wako above the law
 
Alichofanikiwa JPM ni kunyamazisha mamlaka zote za nchi akabakia yeye peke yake. Yaani alishika vyeo vyote na utendaji wote.
 
Back
Top Bottom