Obd 2 inahitajika

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
925
548
Hello guys! Nahitaji obd 2 mpya kwa anae jua wapi zinauzwa anielekeze au kama Mwanza zinapatakana itakuwa vizuri kurahisisha mahali nilipo na ukaribu wa kuipata.
 
Hello guys! Nahitaji obd 2 mpya kwa anae jua wapi zinauzwa anielekeze au kama Mwanza zinapatakana itakuwa vizuri kurahisisha mahali nilipo na ukaribu wa kuipata.
.
Unaongelea OBD II scan tool?

Mimi hua watumia hii ambayo huwa inachomekwa kwenye gari halafu inatuma readings kwenye simu kwa kutumia bluetooth. Unaweza ipata Amazon.

OBD.jpg
 
Back
Top Bottom