Obasanjo katumwa na nani? Gas/ hydropower?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Juzi tumesikia vyombo vya habari vikiripoti ujio wa Mzee Obasanjo.

Ni uhakika kwamba alikuja kwa ajili ya jambo maalumu ..

Ni kama vile Rostam aziz alipo kuja kushughlikia swala la mdogo wake.

Sasa najiuliza obasanjo alitumwa na nani?

Wafuatao yawezekana walimtuma
1. Dangote
2. Wazungu waliojimilikisha Gas
3. Wazungu ambao wanapinga Rufiji Hydro power
4. Wazungu wenye migodi yao

Obasanjo sio msafi kiasi cha kumshauri magufuli na sio kwamba hajui mapungufu ya Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenyewe watakuambia tutaanza kurusha drim laina za kutosha kupeleka nyama ya mbuzi, wanaigeria inaonekana wanapenda nyama!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Juzi tumesikia vyombo vya habari vikiripoti ujio wa Mzee Obasanjo.

Ni uhakika kwamba alikuja kwa ajili ya jambo maalumu ..

Ni kama vile Rostam aziz alipo kuja kushughlikia swala la mdogo wake.

Sasa najiuliza obasanjo alitumwa na nani?

Wafuatao yawezekana walimtuma
1. Dangote
2. Wazungu waliojimilikisha Gas
3. Wazungu ambao wanapinga Rufiji Hydro power
4. Wazungu wenye migodi yao

Obasanjo sio msafi kiasi cha kumshauri magufuli na sio kwamba hajui mapungufu ya Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kuna ubaya obasanjo kuja kumtembeles rais?
Kwa maswali yako hakuna atakae jua nn kilizungumziwa maana yanabaki ikulu peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi tumesikia vyombo vya habari vikiripoti ujio wa Mzee Obasanjo.

Ni uhakika kwamba alikuja kwa ajili ya jambo maalumu ..

Ni kama vile Rostam aziz alipo kuja kushughlikia swala la mdogo wake.

Sasa najiuliza obasanjo alitumwa na nani?

Wafuatao yawezekana walimtuma
1. Dangote
2. Wazungu waliojimilikisha Gas
3. Wazungu ambao wanapinga Rufiji Hydro power
4. Wazungu wenye migodi yao

Obasanjo sio msafi kiasi cha kumshauri magufuli na sio kwamba hajui mapungufu ya Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilivyomwona nikafikiri ndio yule dereva kapatikana
 
Hahaha mzururaji tu kakosa kazi, atumwe yeye ili iweje?!
Anatembea kavaa shuka, analala popote yule.
 
:cool::cool::cool::cool::cool:
1548136865416.png
 
Goti la wasiojitambua na namba hazidanganyi tayari zinaonyesha giza kubwa linakuja siku za usoni. Kichaa ni kichaa tu hastahili kukabidhiwa chochote eti akiongoze.

kila goti litapigwa kwa Magufuli
 
Back
Top Bottom