Uwazi mkubwa unaonekana kwamba Obama's staff wamefanya makosa makubwa kudialog na kuwapa invitations Mubarak na Kikwete White House. Ni makosa makubwa Madikteta kama hawa kupewa hadhi kama hizi wakati nchini kwao wanafanya kila kitu kinyume na sheria za UN human Rights na kurun Fraud elections. Uwazi mkubwa unajidhihirisha Egypt na Tanzania kwa sasa. Mubarak kwa miaka 30 anajiatengenezea tume ya uchaguzi na kujitangaza mshindi wa Uraisi. Huku Tanzania sisi tunateswa hivi JK anajiundia kikundi chake chake cha wahuni na kukiita NEC kumchagua yeye. Ukiangalia human rights violations Tanzania utaona zimejaa kila mahali, tukianzia mauaji Arusha, vitisho kwa viongozi serikalini kuwaua ili wasipeleke cases za mafisadi public na judicial ciolations every where. Mengine ni Injustice Tanzania; uandikishaji fake wa makampuni duniani ili watanzania wasiweze kujua watu gani wanamiliki makampuni kama Dowans na viwanda Tanzania. Zaidi, ukwepaji kulipa kodi na rushwa na utajiri wa viongozi Tanzania wakati Taifa linaomba na kutegemea misaada America na EU. This has come to the end na Obama amehaidi kutokaribisha Madikteta kama hawa tena W.H. Tunauhakika JK hatapata nafasi tena huko EU...Sijui hata Obama alikuwa anamwelewa JK akiongea katika hii picha...
"JK na Mubarak wakienda kuomba misaada nje ya nchi wanataka photo up na Obama kama vile wanajali human rights for their people kama sio unafiki mkubwa ni nini?"