Obama's Africa Trip Could Cost $100 Million

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
first-family.jpg
​
President Barack Obama's trip to Africa later this month could be one of the most expensive of his tenure, costing the government as much as $100 million.

According to a confidential internal planning document obtained by
The Washington Post, hundreds of Secret Service agents will be dispatched to secure facilities in Senegal, South Africa, and Tanzania, which the first family will visit from June 26 to July 3.

A Navy aircraft carrier or amphibious ship, with a fully staffed medical trauma center, will be stationed offshore in case of an emergency.

In addition, military cargo planes will airlift in 56 support vehicles, including 14 limousines and three trucks carrying bulletproof glass to cover the windows of the hotels where the Obamas will stay. And fighter jets will fly in shifts to provide around the clock coverage over the president's airspace.

The president and first lady Michelle Obama also had planned to take a Tanzanian safari during the trip, which would have required a special counterassault team to carry sniper rifles in the event of a threat from wild animals, the Post reported, citing the document.

But the safari was canceled in favor of a trip to Robben Island off the coast of Cape Town, South Africa, where Nelson Mandela was held as a political prisoner, officials told the newspaper.

The Post noted that when it first asked White House officials about the safari last week, they said no final decision had been made, adding that a White House official said Thursday that the cancellation was not related to the newspaper's inquiries.

Former presidents Bill Clinton and George W. Bush also traveled to Africa multiple times. A report from the Government Accountability Office, according to the Post, showed that Clinton's 1998 trip to six African nations cost the federal government at least $42.7 million.
Obama's overseas travels — he will visit Northern Ireland and Germany next week — come as government agencies, including the Secret Service, face spending cuts mandated by the sequester.

The Secret Service reportedly has had to cut $84 million, and this spring the agency canceled public tours of the White House in order to save $74,000 a week in overtime.

In total, the Obamas' Africa trip could cost $60 million to $100 million, a person familiar with planning for the journey told the Post.

"The infrastructure that accompanies the president's travels is beyond our control," Ben Rhodes, Obama's deputy national security adviser for strategic communications, told the newspaper. "The security requirements are not White House-driven. They are Secret-Service-driven."

Rhodes said the emerging democracies on the president's itinerary are crucial partners in regional security conflicts. Obama will hold bilateral meetings with each country's leader in an effort to forge stronger economic ties. He will reportedly also highlight global health programs, including HIV/AIDS prevention.

According to the internal document, Obama will spent a night in Dakar, Senegal, two nights in Johannesburg, a night in Cape Town, and one night in Dar es Salaam, Tanzania.

Among the 56 vehicles for the trip are parade limousines, a specialized communications vehicle, a truck that jams radio frequencies around the presidential motorcade, a fully loaded ambulance, and a truck for X-ray equipment

Mataifa yaliyo makini hufanya tathmini ya safari za mkuu wa nchi, kutathmini gharama, na ple inapoonekana kuwa mzigo wa taifa kun control ya kupunguza safari zisizo za lazima hata ndani ya nchi, lakini kwetu bongo wakati akiwa kwenye kifungua kinywa anapanga tu anataka kwenda wapi na kuagiza waandaaji kumpeleka anakotaka. Kazi kweli kwali, ndio maana Magogoni pamebaki ni kituo cha kufikia tu wakati ofisi ya rais iko angani.
 
Fastjet yeye kama anatumia ungo,maana usiku akiota tu yuko New york basi akiamka tu ni safari,ajabu kiongozi wa nchi hata mwaliko wa birthday haachi!
 
Umeona ee, Marekani Obama hata zile safari za ndani ya nchi anapunguziwa ili kupunguza matumizi. Kikwete nahisi anakoenda kuomba hela ni kwa ajili ya misafara yake kwa kisingizio cha maendeleo nchini.
 
Madame OBama attending, too. That means couturier, hairdresser, wigs, and makeup persons -- seats and rooms for all. Are the kids coming too for summer vacation? Nanny and Grandmother -- seats and rooms. The first dog, and its handler? How about the official Prez food taster?!
 
But atleast imekuwa fair kuwaambia wapiga kura wake juu ya hali halisi.
 
Mataifa yaliyo makini hufanya tathmini ya safari za mkuu wa nchi, kutathmini gharama, na ple inapoonekana kuwa mzigo wa taifa kun control ya kupunguza safari zisizo za lazima hata ndani ya nchi, lakini kwetu bongo wakati akiwa kwenye kifungua kinywa anapanga tu anataka kwenda wapi na kuagiza waandaaji kumpeleka anakotaka. Kazi kweli kwali, ndio maana Magogoni pamebaki ni kituo cha kufikia tu wakati ofisi ya rais iko angani.

Sasa hapo hao Wamarekani wana Umakini gani? huyo Obama si ni kama JK tu?
kama wao ni makini kwa nini wasichukue hizo pesa na kupeleka kuwapa watu wasiokuwa na chakula huko Marekani?
Nimeona documentary kwenye TV Marekani watu kibao wanaishi kwenye mitaro kwa sababu hawana pesa, na wanategemea kupewa supu na wasamalia wema ili waishi, sasa kama wao wanajali hivyo Si wangepeleka hizo Pesa kuwasaidia hao Masikini?

Huyo obama hana tofauti na JK, hata JK angekuwa Raisi wa Marekani na angeyafanya haya anayoyafanya ungeona sawa tu kwa kuwa ni Raisi wa Marekani!

Not true, ukweli Marekani kama mtu anaishi mitaani homeless ni kujipangia kwa kuamua kuwa hivyo. Vinginevyo ukiwa mfanyakazi muda inaposhindikana au kuachishwa kazi serikali inachukua jukumu la kukupatia chakula, kukulipia rent, kukulipia gharama za umeme na maji, huo ndio ukweli wenyewe. Sharti uwe na working record credit. Wakati huna kazi kuna idara za serikali na binafsi zinazojibidisha kila sikukumtafutia kazi hata part time na atapata tu. Lakini hao unaowasema ni wale wazururaji wasiopenda kufanya kazi, ni wale ombaomba. Nadhani ukiwauliza waliowahi kuishi huko watakuambia, kwani we umechukua yale bila kujua back ground ya hao watu.
 
Duh wewe kweli Mbongo, kila kitu unakirahisisha tuu, kwamba wanaolala Barabarani na wasiokuwa na uwezo wa kulisha Familia zao huko Marekani wamependa wenyewe, nafikiri wakikusikia wenyewe wanaweza hata kukupiga risasi, lkn sikulaumu kwani unaonyesha Uafrika wako hasa ukishashiba wengine wote wenye njaa watajijua, Waafrika ndivyo tulivyo, anayelala njaa kapenda mwenyewe, inasikitisha sana kwa kweli!
 
  • Nimethibitisha kauli yangu kwa yale yanayofanywa na serikali ya Marekani kwa raia wake kwa hoja nilizozibainisha, kama huridhika leta hoja yako ambayo inatengua hoja zangu. Tunajadiliana kwa hoja si kwa kulalama tu bila hoja.
  • Kwamba mwenye kipato cha chini hupata huduma ya chakula na serikali
  • Kwamba mwenye kipato cha chini akishindwa kulipa rent serikali inamlipia
  • kwamba mwenye kipato cha chini kama anashindwa kulipa bills za umeme na maji serikali hulipa
  • kwamba aliyepunguzwa kazini au kukosa kazi serikali humpa huduma za msingi za kibinadamu
  • kwamba anayetafuta kazi taasisi ya serikali na binafsi zinafanya jitihada kumtafutia kazi
  • kwamba mwenye kipato cha chini anapofile tax return kama anafamilia hujazwa $$$ hadi wengine zaidi ya $10,000.
Na mengineyo mengi, je wewe una hoja gazi za kuzipiku zangu?
 
Poa poa Umeshinda sina hoja!

Duh wewe kweli Mbongo, kila kitu unakirahisisha tuu, kwamba wanaolala Barabarani na wasiokuwa na uwezo wa kulisha Familia zao huko Marekani wamependa wenyewe, nafikiri wakikusikia wenyewe wanaweza hata kukupiga risasi, lkn sikulaumu kwani unaonyesha Uafrika wako hasa ukishashiba wengine wote wenye njaa watajijua, Waafrika ndivyo tulivyo, anayelala njaa kapenda mwenyewe, inasikitisha sana kwa kweli!

Nimethibitisha kauli yangu kwa yale yanayofanywa na serikali ya Marekani kwa raia wake kwa hoja nilizozibainisha, kama huridhika leta hoja yako ambayo inatengua hoja zangu. Tunajadiliana kwa hoja si kwa kulalama tu bila hoja.

  • Kwamba mwenye kipato cha chini hupata huduma ya chakula na serikali
  • Kwamba mwenye kipato cha chini akishindwa kulipa rent serikali inamlipia
  • kwamba mwenye kipato cha chini kama anashindwa kulipa bills za umeme na maji serikali hulipa
  • kwamba aliyepunguzwa kazini au kukosa kazi serikali humpa huduma za msingi za kibinadamu
  • kwamba anayetafuta kazi taasisi ya serikali na binafsi zinafanya jitihada kumtafutia kazi
  • kwamba mwenye kipato cha chini anapofile tax return kama anafamilia hujazwa $$$ hadi wengine zaidi ya $10,000.
Na mengineyo mengi, je wewe una hoja gazi za kuzipiku zangu?
 
Kwanza huyo Obama anakuja na ndege za exploration ya minerals and other valuable resources ila kwa umbumbu wetu tunasherekea tukidhani ni ndege zakivita. Baada ya muda atapoint specific area nakusema anataka kuwekeza hapo sababu atakuwa anafahamu exactly ni resource gani ipo hapo. Kwa bahati mbaya ni watz wachache sana kama wapo wanaweza kutambua hili! Tunadhani anaingia gharama zote kuja Africa kuja kutalii?!Poor us Tanzanians. Refer Mwananchi news paper for today!
 
Fastjet yeye kama anatumia ungo,maana usiku akiota tu yuko New york basi akiamka tu ni safari,ajabu kiongozi wa nchi hata mwaliko wa birthday haachi!

hahahaaa mwacheni ------ azurure bwana mbona ndo kazi tuliyomtuma hiyo!!!!
 
Back
Top Bottom