'Obama wa Urusi' Mwafrika Anayetaka Kufuata Nyayo za Obama

...mawazo kama haya ni yale majamaa ignorant huku tunayaita KKK,tuko States almost 20 yrs na life is good kwa hiyo acha kutupangia na kuja na theory zako za kipuuzi!

Ha ha ha..wewe mbona akili za ****?

Hakuna aliyekuuliza upo wapi au umeishi huko kwa muda gani..mazee wewe ni bwenga nini? unajua mabwenga wana akili kama yako za kutaka kila mtu awajue, kwa kifupi hapa hamna mwenye nia ya kukujua wala huna dili **** wewe.
 
Last edited by a moderator:
More power to Joachim Crima! But from what we get served in the news about level of aggressive racism in Russia, it seems like a very long shot for a Black man to end up being elected into public office in present day Russia.

As for Obama himself, I have a feeling that his presidency would end up being a one-term affair. Obama is facing a whole lot of surprising, nasty and rather unprecedented opposition from White America at every turn: everything from his recently proposed Health Insurance Bill to a planned nation-wide broadcast speech to students this coming Tuesday.

However, everything compared, America isn't Russia, if that is, Joachim Crima and Blacks in Russia should consider themselves lucky just being able to wake up in the morning in today's Russia.
 
Last edited:
Dream on!!! yeah shortly itakuwa nightmare...In Russia???!! I mean that is like waving a red flag at an enraged bull

He is digging his own grave!!
 
Mkuu,
Usiwaogope Wazungu kwa kiasi hicho. Huo ni woga kama wa VIONGOZI wa CHADEMA. Kama kijana hana uwezo na wao ni Wabaguzi, si acha agombee na akione? Akipata kura 10 ndiyo atajua.

Wazungu na waafrika ni watu pekee wakienda sehemu huwa wanajichanganya. Hawa assians ni wagumu sana na siku zote huwa wanajitenga. Waliokaa Japan wanalifahamu hili na hasa Wazungu. Ndiyo maana huko huoni hata kwenye TV wakiwaonyesha. Wazungu na Mipingo ni damudamu kabisa na ndiyo maana siku zote ndiyo Race zinazogombana na kupatana duniani. Wengine wamejikalia kimyaa......

Kiongozi,

Nadhani unajaribu kuufumbia macho ukweli..Warusi ni kweli ni wazungu, lakini huwezi ukawafananisha na wazungu wengine kama kutoka North America, na maeneo mengine ya Ulaya Magharibi. Hawa ni wabaguzi period! Na ubaguzi wao unachochewa zaidi na hali mbaya ya kiuchumi na muingiliano mdogo na watu wa mataifa mengine na pengine kwa kiasi fulani asili yao ya maisha.
 
Huyu bwana anautofauti mkubwa sana na OBAMA na sijui kwa nini mnamlinganisha. OBAMA ni mchanganyiko wa baba mweusi na mama mzungu wakati yeye ( Crima)ni mweusi kwa baba na mama. Labda watoto wake kama anao wanaweza kufananishwa na swala la Obama sio yeye.
 
Huyu si mzima huyu. Kuwa na shahada halafu kulowea huko Urusi vijijini na kuanza kuuza hayo madude ni dalili tosha kuwa ana hitilafu kichwani.

NN,
Siyo kweli kuwa anaishi KIJIJINI. Volgagrad (zamani ukiitwa Stalingrad) ni mji mmoja mkubwa saana. Una watu zaidi ya Milioni moja. Una vyuo vikuu kama sikosei zaidi ya 5 na vyote vikisomesha hadi Wageni kutoka nje. Mjomba wangu alisomea hapo na marafiki zake wengi kwa sasa ni Madaktari au wahandisi hapa Tanzania. Sifa kubwa niliambiwa ni hii kwamba jamaa mmoja kutoka Mali alimaliza hapo na baada ya muda akawa Waziri ya Afya huko kwao Mali.

Volgograd katika historia (kama wapenda historia) ilikuwa ni mji mmoja maarufu saana wakati wa vita ya II ya dunia. Kutokana na Stalin kuweka hapa viwanda, na hapa kuwa na reli, barabara na huo mto Volga, Hitler aliona ni mji mmoja wa lazima kuuchukua. Ukiwa mji huo kuna kilima kinaitwa MAMAYEV KURGAN. Ukiwa hapo unaona kila kinachoingia Stalingrad. Hapo Mkuu zilipigwa kugombea hicho kilima huku kilele hicho kikihamahama OWNER wa kilima hicho. Inasemekana huo mlima uliacha hata kuota nyasi kwani kilima chote kilikuwa kimejaa VYUMA. Watu karibu 2 milions walikufa katika kugombea mji/Mlima huo. Ili kuweka kumbukumbu, Warusi walijenga SANAMU ambayo mwaka 1967 ndiyo ilikuwa ndefu kupita zote duniani na wanaiita "The Motherland Calls". Ina urefu 85m na kile KISU peke yake kina urefu wa 33m. Ukitaka zaidi waweza kusoma kwenye wikipedia na utaona picha ya PANORAMA kutoka kwenye kilima hicho.
Na Ahhh, yule dada wa kuruka JUU yaani YELENA ISINBAYEVA (Pole vaulting) ni mtoto wa mjini wa Volgograd. Hivyo MKUU, Volgograd ni mji Mkubwa na maarufu na muhimu sana kwa Warusi hadi leo. Huwezi sema jamaa anaishi KIJIJINI. Na mwisho hapo Volgograd anapogombea ndipo aliposomea.

Sanamu la "RODINA MAT, ZOVYOT" kwenye kilima cha Mamayev Kurgan.

Last edited:
Kiongozi,

Nadhani unajaribu kuufumbia macho ukweli..Warusi ni kweli ni wazungu, lakini huwezi ukawafananisha na wazungu wengine kama kutoka North America, na maeneo mengine ya Ulaya Magharibi. Hawa ni wabaguzi period! Na ubaguzi wao unachochewa zaidi na hali mbaya ya kiuchumi na muingiliano mdogo na watu wa mataifa mengine na pengine kwa kiasi fulani asili yao ya maisha.

Mkuu,
Hakuna nchi imechanganya damu na majirani zake kama RUSSIA. Au kwa vile huko Weusi ni wachache? Wamechanganya sana damu na hawa Asians pamoja na hawa watu wa Tajikistan, Mongolia, China, Vietnam, Georgia, Iran, Arab na mhhh sasa MIPINGO nao wanaanza kuonekana kidogo kidogo. Weusi wamezaa saana huko na bado wanaendelea KUZALISHA kama kazi. Hawa watoto PUNDAMILIA siku hadi siku watazidi kuwa wengi. Tunamsubiri sasa dada yetu Naomi Campbel na yeye afyatue ka Pundamilia kake na huyo Mrusi wake Milionea. Kama huamini hebu angalia huyu Mrusi anayejiita sasa Mnigeria yaani Peter Odemwingie ingawa alizaliwa Tashkent, Uzbekistan miaka hiyo ikiwa ndani ya CCCP au USSR (Soviet Union).

610x.jpg
 
Mungu ndie muweza kwa kila jambo na kuwepo kwake hapo urusi kuna sababu,kuwa mwafrika si lazima tu uishi africa,ardhi ni ile ile maisha ni yale yale yaani mwanzo mpaka mwisho wa uhai wa binadamu uko vile vile uwe mzungu,mchina,mmatumbi hakuna tofauti hivyo Mpeni moyo na sapoti kwani hata watu walipambana na wakoloni wasingekuwa na moyo wa kujitoa leo hii nadhani tungekuwa bado tumetawaliwa katika ardhi zetu.
 
NN,
Siyo kweli kuwa anaishi KIJIJINI. Volgagrad (zamani ukiitwa Stalingrad) ni mji mmoja mkubwa saana. Una watu zaidi ya Milioni moja. Una vyuo vikuu kama sikosei zaidi ya 5 na vyote vikisomesha hadi Wageni kutoka nje. Mjomba wangu alisomea hapo na marafiki zake wengi kwa sasa ni Madaktari au wahandisi hapa Tanzania. Sifa kubwa niliambiwa ni hii kwamba jamaa mmoja kutoka Mali alimaliza hapo na baada ya muda akawa Waziri ya Afya huko kwao Mali.

Volgograd katika historia (kama wapenda historia) ilikuwa ni mji mmoja maarufu saana wakati wa vita ya II ya dunia. Kutokana na Stalin kuweka hapa viwanda, na hapa kuwa na reli, barabara na huo mto Volga, Hitler aliona ni mji mmoja wa lazima kuuchukua. Ukiwa mji huo kuna kilima kinaitwa MAMAYEV KURGAN. Ukiwa hapo unaona kila kinachoingia Stalingrad. Hapo Mkuu zilipigwa kugombea hicho kilima huku kilele hicho kikihamahama OWNER wa kilima hicho. Inasemekana huo mlima uliacha hata kuota nyasi kwani kilima chote kilikuwa kimejaa VYUMA. Watu karibu 2 milions walikufa katika kugombea mji/Mlima huo. Ili kuweka kumbukumbu, Warusi walijenga SANAMU ambayo mwaka 1967 ndiyo ilikuwa ndefu kupita zote duniani na wanaiita "The Motherland Calls". Ina urefu 85m na kile KISU peke yake kina urefu wa 33m. Ukitaka zaidi waweza kusoma kwenye wikipedia na utaona picha ya PANORAMA kutoka kwenye kilima hicho.
Na Ahhh, yule dada wa kuruka JUU yaani YELENA ISINBAYEVA (Pole vaulting) ni mtoto wa mjini wa Volgograd. Hivyo MKUU, Volgograd ni mji Mkubwa na maarufu na muhimu sana kwa Warusi hadi leo. Huwezi sema jamaa anaishi KIJIJINI. Na mwisho hapo Volgograd anapogombea ndipo aliposomea.

Sanamu la "RODINA MAT, ZOVYOT" kwenye kilima cha Mamayev Kurgan.

Bottomline jamaa siyo mzima kichwani!!
 
haaa haaaaa wewe ndo walee wanaoamini kua kazi za ofisi zinalipa kuliko kilimo!
Kwa taarifa yako huyo anayelima matikiti ekari 55 ana hela ndefu.....may be ata kupita ewe!! kama kaweza kuajiri watu 20.....sio wa kumbeza hata kidogo zaidi sana katumia degree yake vizur
 
Kibongo bongo watu wameshakariri ukiwa mkulima bac we maskini huyo nyani ngabu cjui anakaa ulaya ipi mpk anapondea wakulima
 
Je jamaa alishinda?????

'Russian Obama' loses election

Published: October 13, 2009 - 7:27AM
Crima-and-Putin.jpg

The so-called "Russian Obama" has failed in his bid to become Russia's first elected official of African descent, but says he is satisfied with his third place finish.
Joaquim Crima, an immigrant from Guinea-Bissau whose candidacy for a seat in a local Russian legislature had drawn international attention, took only 4.75 per cent of the vote, a regional election official said.
"I expected to gain around one per cent and I came in third," Crima said, calling himself "pleasantly surprised".
Crima, who has been living in Russia since 1989, had been seeking a seat in the municipal legislature of the Srednaya Akhtuba district in the Volgograd Region of southern Russia.
He finished behind Sergei Tikhonov, the candidate of the ruling United Russia party, who took 47 per cent of the vote, and Vladimir Romanov, who took 30.7 per cent, a spokesperson for the regional election commission said.
Crima's candidacy had astounded observers and drawn media attention, with non-whites often subjected to suspicion in Russia and sometimes even violent racist attacks.
AFP
 
Mwanafunzi wa Afrika aliyemaliza digrii yake na kulowea nchini Urusi akifanya biashara ya kuuza matikiti maji anataka kufuata nyayo za Barack Obama kwa kufanya vitu ambavyo haviwezekani kwakuwa mweusi wa kwanza kuingia kwenye siasa za nchini Urusi nchi ambayo ina kiwango kikubwa cha ubaguzi wa rangi.

Joaquim Crima mwenye umri wa miaka 37, alizaliwa nchini Guinea Bissau na baadae kuanzisha makazi yake kusini mwa Urusi baada ya kumaliza digrii yake ya kwanza nchini humo na kuoa mwanamke wa Urusi.

Kutokana na ndoto zake za kuleta mabadiliko kwenye nchi hiyo ambayo ina kiwango kikubwa cha ubaguzi wa rangi, Crima amebatizwa jina la "Obama wa Urusi".

Chanzo cha habari Nifahamishe

Kuna mweusi alishatokea kwenye senneti ya Urusi hata kabla ya obama
 
Back
Top Bottom