Obama urged to cancel Tanzania trip due to gross violations of human rights by Top US diplomats!!

Mtu mwenye hekima huwa hatukani ovyo!

Kiingereza chako ni kibovu!

Sasa hautaki kuambiwa ukweli??

Unaonekana kama wewe ni mwanafunzi!

Tafuta mbinu za kuboresha lugha ya Kiingereza chako!

Kama hauwezi tumia tu Kiswahili!

Huna haja ya kutukana!

do you know English? wewe ni ccm wapuuzi watupu nyie 2015 out of jobs , idiot & foolish .no way
 
Mtu mwenye hekima huwa hatukani ovyo!

Kiingereza chako ni kibovu!

Sasa hautaki kuambiwa ikuweli??

Unaonekana kama wewe ni mwanafunzi?

Tafuta mbinu za kuboresha lugha ya Kiingerea chako!

TAZAMA UMEANDIKA MAKOSA HATA KISWAHILI HUJUI ANGALIA MSTALI WA TATU NA WA MWISHO UMEANDIKA MANENO GANI? LEKEBISHA UTUMBO WA KISWAHILI. ccm wewe nini?
 
Mwanafunzi?? Uko ngazi gani ya masomo? Kidato cha sita au Chuo? Chuo gani wanafundisha grammar mbaya hivi??

Angalia tena post yako ya kwanza ..ukiweza usahihishe Lugha!

Vipi mtihani ulipata daraja gani?

Kajiandae na masomo usije ukafeli mtihani! Ungekuwa mwanafunzi wangu Lugha nakupa 00%

TAZAMA UMEANDIKA MAKOSA HATA KISWAHILI HUJUI ANGALIA MSTALI WA KWANZA NA WA MWISHO UMEANDIKA MANENO GANI? LEKEBISHA UTUMBO WA KISWAHILI. ccm wewe nini?
 
Mwanafunzi?? Uko ngazi gani ya masomo? Kidato cha sita au Chuo? Chuo gani wanafundisha grammar mbaya hivi??

Angalia tena post yako ya kwanza ..ukiweza usahihishe Lugha!

Vipi mtihani ulipata daraja gani?

Kajiandae na masomo usije ukafeli mtihani! Ungekuwa mwanafunzi wangu Lugha nakupa 00%

FOOLISH,IDIOT AND UN THINKER MAN LIKE YOU. takes long time to believe if HE/SHE making mistake we know un thiker man does not believe if ccm PARTY is going to DIE soon.
 
watu werevu huwa hawatukani hovyo hovyo!

Uungwana ni kitu cha bure!

Naona kama una msongo wa mawazo!

Nakushauri tumia basi lugha ya Kiswahili... maana Kimombo haukiwezi?? Ukiandika kimombo ona unavyojiabisha!

Pole na mchana mwema!

FOOLISH,IDIOT AND UN THINKER MAN LIKE YOU. takes long time to believe if HE/SHE making mistake we know un thiker man does not believe if ccm PARTY is going to DIE soon.
 
If this happens then it will be a big scandal to our nation. Tanzania is slowly emerging a dictatorial country. Undermining democracy and killing of civilians are a few signs.
Babu kwema??? Mbona mdomo unanuka choo hivyo?? Au ni huu ugoro uliosambaa mtaani siku hizi. Pole na maumivu ya nyonga
 
Hizi habari mbona zisha-expire zamani tu?? Huyo Millibank mwenyewe amekuwa criticized hata na wana-Obama wenzake....huyo anayeoigania Obama sije hana hoja ya msingi sana sana wanalilia Dola 1m moja yao ambayo bado haijalipwa!! Hii ni biashara ya Waakili wa Mazengo, ambae yeye kupata hela yake ya uwakili kutatokana na kulipwa kwa hiyo pesa!!
 
FOOLISH,IDIOT AND UN THINKER MAN LIKE YOU. takes long time to believe if HE/SHE making mistake we know un thiker man does not believe if ccm PARTY is going to DIE soon.
Yaani sijui nitumie lugha gani ili unielewe maaana KIINGEREZA hujui, KISWAHILI hujui..... Sasa sijui nitumie KIMACHAME ndio utanielewa. You dont belong here young COCKROACH!!!!!!!
 
quote_icon.png
By PHILIPLULINDA
It looks seems , why not Obama to decide to cancel his trips ? ccm they need to think !!! as i says CCM is ugly party because people are die without to knows who killing those !!! Tanzania without ccm is possible ,lets be together for making changing in 2015.

Ha ha ha haaa, Duh, hiki kizungu cha Nape nini??
 
FOOLISH,IDIOT AND UN THINKER MAN LIKE YOU. takes long time to believe if HE/SHE making mistake we know un thiker man does not believe if ccm PARTY is going to DIE soon.

Bora ukae kimya kuliko kutuandikia broken English kama hii! Sasa ndo umeandika nini?? Si bora uandike tu kwa Kiswahili?
 
Obama atakuja tu kwa sababu ya interest za marekani katika nchi hii, siyo kwa vile eti tuna serikali nzuri.
 
Back
Top Bottom