Obama: Uchumi wa Kenya ilikuwa kubwa kuliko S.Korea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama: Uchumi wa Kenya ilikuwa kubwa kuliko S.Korea

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Zhule, Jul 22, 2009.

 1. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OBAMA wakati anazaliwa, kenya kiuchumi ilikuwa mbali kuliko S.korea.NIMESIKIA NCHI NYINGI ZA AFRICA IKIWEMO CHOKA MBAYA TANZANIA ILIKUWA MBALI TU KULIKO NCHI NYINGI.NISAIDIENI TATIZO LETU NI NINI:LA PILI WANAOTEULIWA NA RAIS WA MAREKANI LAZIMA ATHIBITISHE TUHUMA ZOTE MBELE YA SENATE NA APIGIWE KURA KWAMBA OFISI ANAIWEZA JE HIYO NDO GOVERNMENT OF THE PEOPLE AND BY THE PEOPLE.SISI MAJAJI 50 WAMEFIKA, WAKINA CHENGE, RASHIDI, ALL PRESIDENTIAL APPOINTEE KAMA ALIVYOJIHITA PETER MUSOLA WAKATI AKIWA SUA KWAMBA HAWEZI KUULIZWA NA KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU YA JUU SAYANSI NA TEKNOLOGIA WAKATI HUO KUTOA UFAFANUZI NINI MAANA YA "CARRY OVER UNTIL NEXT OFFERED' NDIYO TATIZO YAANI VIONGOZI HAWANA UWEZO. NA WANAMUHOFU RAIS TU NA SI UMMA. NAWAKILISHA
   
Loading...