Obama...Sasa hii Too Much!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
obama.jpg

Huyu mke ana asili ya West Africa isije ikawa kamfanyia mambo...
 
Halafu ukiacha mtoto wao anayewashangaa raia wengine wako busy na mambo yao.
 
Mtoto naye anapiga chabo. Kwa hisia naye mdomo katayarisha!. Kweli kila utamaduni ni dunia.! Wala siyo too much kikwao.
 
Obama amejazia hapo mbele !!!!!! Nitafakari ni kubwa kiasi gani lol
 
Obama amejazia hapo mbele !!!!!! Nitafakari ni kubwa kiasi gani lol

Breki yako ya kwanza umeona uvungu kwanza hahah....
Mtoto wao anawaangalia sijui na yeye anatamani au ndio kashazoea...
 
breki yako ya kwanza umeona uvungu kwanza hahah....
Mtoto wao anawaangalia sijui na yeye anatamani au ndio kashazoea...
hahahahaah uvunguni kwanza we unategemea ukikutana na mtu frs time unaangallia wapi?ukute mguu wa mtoto ili utoke nduki zako lol,
 
Matatizo yako wapi, full kupendana kila kona. Yanini kujibana?

Sio wengine hadharani tabu hata huko faragha pia matatizo.
 
Sasa JK anaingiaje hapa.....wabongo kwa kuforce mambo....ngoja tusubiri za slaa na josephine 2015:madgrin:
 
He loves his wife.
wabongo wengi hatuwezi kufanya hii kitu na wake zetu in public kama huyu prezidaa.
 
File name inasema he is kissing for the kiss cam, hamna cha ajabu hapo. Hiyo camera ikikugeukia, ni lazima umkiss partner wako kwenye viwanja vya michezo.
 
Back
Top Bottom