Baba Mwanaasha huwa anafanya hivi na Mama Mwanaasha..
Obama amejazia hapo mbele !!!!!! Nitafakari ni kubwa kiasi gani lol
Breki yako ya kwanza umeona uvungu kwanza hahah....
Mtoto wao anawaangalia sijui na yeye anatamani au ndio kashazoea...
hahahahaah uvunguni kwanza we unategemea ukikutana na mtu frs time unaangallia wapi?ukute mguu wa mtoto ili utoke nduki zako lol,breki yako ya kwanza umeona uvungu kwanza hahah....
Mtoto wao anawaangalia sijui na yeye anatamani au ndio kashazoea...
Mwisho futi moja......no zero distance
Jaribuni na ninyi muone kama hamjagandana