dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
Watu wanne waliokuwa wemepumzika chini ya mti mkubwa katika barabara ya Obama eneo Seavew wamenusurika kifo kufuatia mti mkubwa ulioangoka chini na kuvunja magari matatu yaliyokuwa yamegeshwa chini ya mti huo pamoja na uzio wa nyumba.
Watu walionusurika katika ajali hiyo wamesema gafla wailona mti huo mkongwa ukishuka tatartibu kuelekea ardhini na hivyo kuwapa nafasi ya kujinusuru na kuacha magari matatu T 926 bxu aina ya Aterza T 994 cek rava 4 na T 300 ekb vits kuangukiwa kwa kishindo huku wameliki wa magari hayo wakishikwa na taharuki baada ya kufika katika eneo la tukio.