Obama road: Watu 4 wanusurika kifo maeneo ya Sea View

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Watu wanne waliokuwa wemepumzika chini ya mti mkubwa katika barabara ya Obama eneo Seavew wamenusurika kifo kufuatia mti mkubwa ulioangoka chini na kuvunja magari matatu yaliyokuwa yamegeshwa chini ya mti huo pamoja na uzio wa nyumba.

Watu walionusurika katika ajali hiyo wamesema gafla wailona mti huo mkongwa ukishuka tatartibu kuelekea ardhini na hivyo kuwapa nafasi ya kujinusuru na kuacha magari matatu T 926 bxu aina ya Aterza T 994 cek rava 4 na T 300 ekb vits kuangukiwa kwa kishindo huku wameliki wa magari hayo wakishikwa na taharuki baada ya kufika katika eneo la tukio.
 

Attachments

  • 1417450127304.jpg
    1417450127304.jpg
    95.6 KB · Views: 1,081
  • 1417450162495.jpg
    1417450162495.jpg
    78.9 KB · Views: 995
Poleni sana waathirika, ila tatizo kama gari ni ya kuazima kwa shemeji sasa!!!
 
T 300 ekb? Sahihisha hapo kwenye hiyo namba
News ni mti kuanguka na kuharibu magari. Iwapo angekuwa anatafuta mwenye gari, basi namba ndio ingekuwa na umuhimu sana.Kwa furaha yako: Vitz T 300 BKB. Kama BUKOBA vile home boy...:A S-rap:
 
Kupaki chini ya mnazi au miti.ni hatari sana hasa kama ni.miti mizeee na myepesi kukatika hasa wakati wa upepo na mvua. Poleni ila mshukuruni Mungu mmepona. Magari mtanunua tu mengine ila si uhai.
 
Hivi vigari vidogodogo vina laana sijui? mara mabilionea wafie humo wakiwa wanaeskro michepuko, mara viangukiwe na miti, mara wengine waanikie mashati yao yani argggghghh!!!!


 
ha ha ha ...hapo ndo utaona gari sio issue.... milioni zote hapo ni kushnei..unaingia garage tena kuongeza ela...
insuarance hawalipi hiyo..ni natural.
ila sasa ndo tuta survive vipi bila gari..
 
Atakuja Mama Mdogo na kusma miti yote ikatwe ili isije kuumiza magari na watu.

Hapo sasa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom