Obama Nobel Peace Prize Appeal Sought By Bolivian President And Russian Lawmaker

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,077
r-OBAMA-large570.jpg

The Bolivian president and a Russian political leader have launched a joint effort to have President Barack Obama stripped of the Nobel Peace Prize.

As Forbes is reporting, Russian Liberal Party leader Vladimir Zhirinovsky released a statement Monday saying that the prize, awarded to Obama in 2009 for his work on nuclear non-proliferation, was hypocritical in light of recent missile attacks in Libya.

"These developments in Libya are another outrageous act of aggression by NATO forces and, in particular, the United States," Zhirinovksy's statement, which appeared in Russian, is quoted by Forbes as saying. He went on to call the strikes part of a "colonial policy" with the goal to control Libyan oil.

Bolivian President Evo Morales echoed those sentiments. "How is it possible that a Nobel Peace Prize winner leads a gang to attack and invade? This is not a defense of human rights or self-determination," Morales, who is among of number of left-leaning Latin American leaders who have denounced the Libya attacks, is quoted by Digital Journal as saying.

The Nobel committee has been criticized both in the U.S. and abroad for its 2009 decision to award the prize to Obama for "his extraordinary efforts to strengthen international diplomacy and cooperation between peoples" only a few months after his inauguration. "The prize is coming a little bit early," Guenther Oettinger, leader of the German state of Baden-Wuerttemberg, is quoted by Bloomberg as saying. "He's at the beginning of his work, not the end."

Other pundits were more severe: "Obama gives speeches trashing his own country and for that gets a prize, which is now worth as much as whatever prizes they are putting in Cracker Jacks these days," Rush Limbaugh told Newsweek. "The Nobel gang just suicide-bombed themselves."

http://goo.gl/5l4dEQ
 
Waende zao hizi propaganda vile ni Obama kafanya kelele nyiiiiiingiiiii! Mijitu mingine sijui ikoje? Wanaishia kumlaumu Obama kwa kilichoamuliwa na UN mbona hawasemi UN ivunjwe bla bla bla. Asingefanya mngesema amefanya mnasema duh watu wanakosa shukrani. Sasa mlitaka Gaddaffi aendelee kuchinja watu wake kama mbuzi na kondoo? Big up Obama watu wenye kibri kama hawa dawa yao ni kupiga mpaka kieleweke.
 
Nobel peace prize...means A LOT!
Obama truly amekiuka slogan ya amani itolewayo na NOBEL, haiwezekani mtu wa amani amwage damu za watu kwa maangamizi ya aina yoyote ile. Alianza vema ila anaelekea mrama katika serikali yake na USHAWISHI wake ndani ya taifa lake la USA unashuka kwa kasi, kumekuwepo na maandamano ndani ya nchi yake wakimpinga kwa ushiriki wa uvamizi wao Libya ambapo kiuhalisia unaongeza uhasama baina ya Marekani na Arab world. Isitegemewe kwa siku za karibuni kuona dunia ikijivunia amani...la hasha! Kifanywacho hivi sasa ni dhihirisho la kuona hakuna wakubwa wenye kuililia amani ya dunia abadani, bali hufanya hivyo kwa maslahi binafsi ya (utaifa ama umoja wao).
A real nobel peace prize winner never get convinced for any millitary invansions, Obama is letting himself down on international relationship. And he will never be recognised as a nobel winner from what he is performing.
 
Kwani na hizo damu alizo kuwa anamwanga Gaddaffi? mlitaka aendelee kuchinja watu wake ? Kwa hilo Obama namfagilia hao wanasumbuliwa may be na ubaguzi!!
 
Gadifi kachinja wengi kuliko nato ya obama. obama kuchinja ni kama ajali kwani nia ni kulinda raia wa banghazi. Tuache propaganda
 
hili li Gaddafio ni la kukamata na kupiga klitanzi kama saddam tu
 
hizo ni propaganda tu. kama huyo mrusi anaona dili lake la kuuza silaha libya linaweza kuharibika kama gaddaf ataondolewa. mbona gaddaf kaua sana wajameni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Obama defends his Nobel Peace Prize following over Libya campaign

Posted: Thu Mar 24 2011, 13:15 hrs Washington:

M_Id_206337_Obama.jpg

When I received Nobel Peace Prize, I specifically said there was an irony because I was already dealing with two wars, says Barack Obama.

US President Barack Obama has said that he does not see any contradiction between his Nobel Peace Prize and his actions in Libya.

"When I received that award, I specifically said there was an irony because I was already dealing with two wars. So, I am accustomed to this contradiction of being both a commander-in-chief but also someone who aspires to peace," Politico quoted Obama, as saying.

"I think the American people don't see any contradiction in somebody who cares about peace also wanting to make sure that people aren't butchered because of a dictator who wants to cling to power," he added.

Obama's comment comes after Bolivian President Evo Morales and a Russian political leader, Vladimir Zhirinovsky, launched a joint effort to have the US President stripped of the award following the US-led military campaign against Libyan dictator Muammar al-Gaddafi.

Source:
 
Ndio anyanganywe kwanza ni mnafiki mkubwa,,, nyie watanzania wa ajabu sana mnashadadia mambo tuuu bila kuwa na sababu, hivi watu waliouwawa na saddam na ambao Marekani imeua wangapi ni wengi? na je baada ya kumuua Saddam Iraq ina usalama?!! acheni hizo kushabikia tuuu...media zote ni za hao majizi US..CBN,CNN,ABC...UK SKY,BBC nk mnategemea watasema nini kuhusu Gadaafi?!!

Nyie mnameza tu!! hamkumbuki hawa hawa wamarekani waliwahi kumuita Mandela gaidi?!! shame on u...AFRIKA LAZIMA IAMUKE IKATAE UBEBERU WA HAYA MAJIZI
 
Waende zao hizi propaganda vile ni Obama kafanya kelele nyiiiiiingiiiii! Mijitu mingine sijui ikoje? Wanaishia kumlaumu Obama kwa kilichoamuliwa na UN mbona hawasemi UN ivunjwe bla bla bla. Asingefanya mngesema amefanya mnasema duh watu wanakosa shukrani. Sasa mlitaka Gaddaffi aendelee kuchinja watu wake kama mbuzi na kondoo? Big up Obama watu wenye kibri kama hawa dawa yao ni kupiga mpaka kieleweke.

You are not a Greate Thinker. IDIOT.
 
Big up MKUU.
 
Watu wana chuki binafsi na Gadaffi. Hivi kabla ya uasi wa Bemghazi ambao una mikono ya Uingereza na US kuna mtu ana ushahidi wa idadi tu ya watu ambao Gadaffi aliua? Tunasukumwa tu na hisia!! Hao wamarekani wanatekeleza mashambulizi kinyume na azimio la UN ambalo nalo ni haramu tu. Hamjaona jana NATO hawataki kuchukua jukumu la kuendelea kuishambulia Libya? HAwakubaliani na hiyo mibeberu inayoongozwa na Marekani. Ni wapi ambapo Marekani iliingilia kivita na ikaleta Amani? Angalia Somalia, Iraq, Afghanistan hadi wanaamua kukimbia na kuziacha nchi zikiwa zimeparaganyika!! Ama hakika Obama anastahili kunyang'anywa hiyo tuzo ya Nobel, ni mnafiki wa kutupwa.
 
nilimpenda sana huyu Jaluo mwanzo ila kwa sasa nnamchukia kuliko kiongozi yoyote yule

ni mshenzi na mpuuuzi sana mbwa huyu
 
Ndio anyanganywe kwanza ni mnafiki mkubwa,,, nyie watanzania wa ajabu sana mnashadadia mambo tuuu bila kuwa na sababu, hivi watu waliouwawa na saddam na ambao Marekani imeua wangapi ni wengi? na je baada ya kumuua Saddam Iraq ina usalama?!! acheni hizo kushabikia tuuu...media zote ni za hao majizi US..CBN,CNN,ABC...UK SKY,BBC nk mnategemea watasema nini kuhusu Gadaafi?!!

Nyie mnameza tu!! hamkumbuki hawa hawa wamarekani waliwahi kumuita Mandela gaidi?!! shame on u...AFRIKA LAZIMA IAMUKE IKATAE UBEBERU WA HAYA MAJIZI

Waambie hao hawajui Marekani ni mabeberu na wana lao jambo toka zamani kwa Gadaffi. Wamepata kisingizio cha kumwondoa na si vinginevyo. Waafrika tuamke kama ni msaada kwa raia wamefanya nini Ivory Coast?
 
Waende zao hizi propaganda vile ni Obama kafanya kelele nyiiiiiingiiiii! Mijitu mingine sijui ikoje? Wanaishia kumlaumu Obama kwa kilichoamuliwa na UN mbona hawasemi UN ivunjwe bla bla bla. Asingefanya mngesema amefanya mnasema duh watu wanakosa shukrani. Sasa mlitaka Gaddaffi aendelee kuchinja watu wake kama mbuzi na kondoo? Big up Obama watu wenye kibri kama hawa dawa yao ni kupiga mpaka kieleweke.

KIBRI anacho gadafi au BAGBO, mbona kwa BAGBO ivory coast OBAMA hajaenda? Anachotaka libya ni mafuta, halafu we unaonekana taarifa unaanglaia Chten na TBC, angalia Aljazeera na BBC. Gadafi hajawahi kupiga raia. Wale anaowapiga ni rebels (Waasi). hakuna raia anaeandamana na ak-47 umeona maandamano ya MISRI, na TUNISIA.

Gadafi ni Jeuri lakini marekani amejichoresha kufanya urafi huu. MUNGU ATAMLANI NA ATAANGUKIA PUA, Na kusho atakutana na Moto tena uwakao kwelikweli kwa ajili yake
 
nilimpenda sana huyu Jaluo mwanzo ila kwa sasa nnamchukia kuliko kiongozi yoyote yule

ni mshenzi na mpuuuzi sana mbwa huyu

Wakuu.
Nobel peace prize aliyopewa Obama ilielezea kwa nini wamempa yeye.
Ni juhudi zake katika kutokomeza au kupunguza silaha za nyuklia, pia jinsi alivyoamsha hisia za vijana wengi kushiriki siasa au upigaji kura kule marekani.Hiyo ilikuwa bado hajakalia kiti cha urais.

Musisahau alipinga sana vita vya Iraq huyu Obama.

Sasa rais wa marekani ni cheo kikubwa lakini pia kuna nguvu zilizojificha pale. Rais wa Amerika anakuwa amemilikiwa na bankers, corporationists na military industrialists. These are the ones calling the shots. Hawa humwaga hela kwa kampeni na kumdhibiti rais. Anaposhindwa kuwatumikia huwa "humkolimba"

Sasa baada ya kukikalia kiti ndio amekumbana na ukweli wa jinsi gani utawala wa Nchi ya US unavyoendeshwa. Inawezekana kuna maaamuzi huwa si yake hasa lakini ni lazima aya-rubber stamp.

Sikilizeni vizuri huyu mtu anavyosema halafu fanyeni conclusions zenu.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom