Obama nguvu ya hoja dhidi ya Romney policy hoja ya nguvu

obama alichovuruga kwa marekani na waafrika ingawa wengine wanaweza wasieleze bayana ni mambo makuu mawili
1. sera ya utoaji wa mimba, hii ilikasirisha watu wengi,

2, ndoa za mashoga na wasagaji hata kubadili sera za jeshi kuwaruhusu waovu hawa kuwa sehemu ya jeshi la marekani liliwaudhi askari na wamarekani wengi. hili pia limechangia jeshi lao kupoteza mwelekeo na kama sijasahau kuna mkuu mmoja wa majeshi alijiudhuru kwa kuona ni ufisadi yeye kusimamia sera hii akiwa mkuu wa operesheni za kijeshi
 
Candid Scope,

Obama alitangaza wazi mwaka huu kwamba baada ya kupima na kujadiliana na mkewe na watoto ameamua kubadilisha msimamo wake kuhusu "ndoa" ya watu wa jinsia moja.

Defenition yake ya ndoa mwaka 2008 ilikuwa "ndoa ni kati ya mwanamke na mwanamme". Amebadili, na uchambuzi wako unaonyesha hujagundua hivyo.

Now, mark my words: evil begets evil. After "sanctifying" same sex marriage this generation will propose legalizing "marriage" between a human being and a dog. It is the next natural step.
 
Unfortunately, Obama has not reminded Americans that they would have been in a different place if Congress had not deliberately blocked his initiatives. Most importantly he would have used that fact as a case for his reelection to break the would be precedence for the congress blocking the new president's initiatives to make him/her loose re-election.

Nakubaliana na hilo kuwa ni mkakati wa kisiasa. Lakini tukienda kwenye issues, naona bado Obama ana hoja zenye mashiko.

Kwanza, unasemaje kuhusu Romnesia? Ile hali ya kubadilika badilika kila wakati, na kusahau msimamo, matendo au kauli zako za nyuma?

Mara unatangaza kuwapunguzia kodi matajiri wa juu, baadaye hapana!

Mara kwamba hupendi kuendeleza makaa ya mawe, baadaye unapenda!

Mara utabadili sera yote ya afya ya Obama 'Obamacare', baadaye utabadilisha sehemu tu!

Mara 47% ya Wamarekani ni wategemezi kwa serikali na 'hawana maana', sasa unaona 100% ya Wamarekani wana maana!

Kwa miaka 25 mikakati yako ya kibiashara inakumbatia China, na unatajirika kwa njia hiyo, leo unatangaza kuwa utapambana na China kwa kuwa inaumiza uchumi wa Marekani!

Pili, unasemaje kuhusu mpango kukuza uchumi ambao hauna maelezo zaidi ya kusema ntapunguza kodi, ntaongeza nafasi za kazi, ntaongeza matumizi ya jeshi, na kupunguza deficit bila kuelezea kwa namna gani? Kodi ipunguapo, na matumizi ya jeshi yaongezeke, does the math make sense there? Does it add up?

Na kadhalika, yapo mengi tu...
 
Hoja nyingi za msingi zinaonyesha wazi mpinzani wa Obama ni mfupi hawezi kufikia Obama alipo. Ndio maana ya picha ya hapo juu hoja moja wapo kwa mtazamo wa mpinzani wa Obama ni kwa mtazamo wa karne zilizopita badala ya ulimwengu wa leo. Mtu hawezi kuwa perfect for 100% lakini pamoja na mapungufu hayo anao uwezo mkubwa to lead American people.
WHat happened in those days when Bush stood Versus Alfred Gore?
We all know namna Bush alivykuwa mfupi kuliko kiatu, but what happened? We all know kuwa Bush ni conservative kiasi alikuwa akizifahamu nchi za Uingereza, Canada Na Mexico tu kwa kuzitembelea kabla hajaingia alipokuwepo, but what happend?
 
Obama amekwishashinda. Kura zitathibitisha.
Kwa bahati mbaya, hali haiko rahisi vile; ushindi wa Obama utakuwa wa manati kweli kweli na sasa hivi kuna dalili kuwa atapokonywa Ohio, tena kwa kura chache sana. Iowa nayo imeanza kuyumba baada ya Des Moines Register kum-endorse Romney.

Jambo ninalosubiri kwa hamu ni pale ambapo itatokea kuwa Obama kashinda hata kwa vote moja, tu na kupata mandate ya kurudi white House. Sijui matajiri wote waliomwaga hela zao nyingi sana kwa Republicans watafanya kitu gani; na hata yule senator Mitch McConnell aliyeapa kumwangusha Obama kwa kuzuia kila kitu atabaki na kazi gani ya kufanya kwenye senate. Kuna jamaa mmoja mwingine anaitwa Eric Cantor ambaye aliapa kuwa hawezi kujadili lolote na serikali ya Obama; kuna siku wakijadiliana mambo ya bajeti akaondoka kikaoni kwa kiburi na kuhakikisha kuwa hakuna bipartisan agreement yoyote itakayotokea wakati wa utawala wa Obama.

Sijui Gov Sununu, Donald Trump, Ann Coulter, Rush Limbaugh, Sean Hannity, Glenn Beck, Laura Ingram, Laura Schlessinger, Sara Palin na wengineo wanaoumchukia Obama kama shetani watakambilia wapi iwapo Obama atashinda!
 
The message speaks volumes. Romney is done. He should kiss presidency.

Obama can't win undecided always go to a challenger Obama inabIdi awe 10 point .angalia Obama alivyoanguka alivyo run for congress akaanguka,exit poll Obama alikuwa 10 point anaongoza.watu walidanganya Obama alianguka uchaguzi huo .governor walker alikuwa 5 point behind aliishia kuwin 7 point.John Kerry alikuwa 5 point Ohio Kwenye poll siku ya uchaguzi alishindwa Ohio_Obama ameshanunua nyumba Hawaii October hii
 
WHat happened in those days when Bush stood Versus Alfred Gore?
We all know namna Bush alivykuwa mfupi kuliko kiatu, but what happened? We all know kuwa Bush ni conservative kiasi alikuwa akizifahamu nchi za Uingereza, Canada Na Mexico tu kwa kuzitembelea kabla hajaingia alipokuwepo, but what happend?
Algore alokuwa Kwenye poll mbele 5 point na akaanguka.kunawazungu wanaguzi wanadanganya watapiga kwa Obama wakifika Kwenye kura lol
 
Kwa bahati mbaya, hali haiko rahisi vile; ushindi wa Obama utakuwa wa manati kweli kweli na sasa hivi kuna dalili kuwa atapokonywa Ohio, tena kwa kura chache sana. Iowa nayo imeanza kuyumba baada ya Des Moines Register kum-endorse Romney.
Mkuu, kumbuka Obama anaongoza kwa kuwa na kura 261 za matarajio kutoka "Electoral Colleges" dhidi ya kura 206 za Romney. Kuhusu Ohio, kura nyingi za maoni zinaonyesha Obama akiongoza kwa 48.3% dhidi ya 46% za Romney, ingawa kwa popular votes Romney anaonekana kuongoza kwa 48.3% dhidi ya 47.3% za Obama.
 
Democratic wanajivunia electoral nyingi katika states zinye mwelekeo kwao kama Califonia, NJ, nk
 
WHat happened in those days when Bush stood Versus Alfred Gore?
We all know namna Bush alivykuwa mfupi kuliko kiatu, but what happened? We all know kuwa Bush ni conservative kiasi alikuwa akizifahamu nchi za Uingereza, Canada Na Mexico tu kwa kuzitembelea kabla hajaingia alipokuwepo, but what happend?
quote_icon.png
By Candid Scope

Hoja nyingi za msingi zinaonyesha wazi mpinzani wa Obama ni mfupi hawezi kufikia Obama alipo. Ndio maana ya picha ya hapo juu hoja moja wapo kwa mtazamo wa mpinzani wa Obama ni kwa mtazamo wa karne zilizopita badala ya ulimwengu wa leo. Mtu hawezi kuwa perfect for 100% lakini pamoja na mapungufu hayo anao uwezo mkubwa to lead American people.

Kauli yangu nadhani ilikuwa na jicho la kuona mbali, na ukweli ndio huo sasa mpinzani wa Obama alikuwa mfupi, ndio maana tunaona tofatuti ya majimbo ya uchaguzi Obama 332 dhidi ya Mitt Romney 206. Jambo la msingi hoja za Ombama zinakuna kuliko majibu ya jumlajumla aliyokuwa nayo mpinzani wake.
 
Loud and Clear....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom