Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Cheki nyengine hii...Naona Obama unacheki msondo huo, mwenzake Sarkozy ndo du!.
Ab-Titchaz- Na wewe unammonitor Obama kwa karibuuu.
Macho haki yake kubwa ya msingi kuona, siyo mbaya, Macho nayapa haki yake ya kimsingi.
https://www.jamiiforums.com/members/ab-titchaz.html
Mara moja moja si vibaya kwani wakati mwingine utokea involuntarily.Unajikuta tuu umepoteza network.