Obama na mkewe watia aibu SA

Rais wa marekani na mkewe wametia aibu baada ya mkewe kubadilishana nae siti ili kumzuia asiongee na mke wa cameroon kwa kudai it was too much
Obama and Wife at Mandela's Funeral - Imgur

kuwa member wa jf si lazima kuanzisha uzi. Na endapo utafanya hivyo, leta uzi wenye funzo, kuelimisha na hata kufikirisha kiasi sio utumbo huu uliobandikwa hapa.
Sasa aibu hiyo unayoisema wewe iko wapi kwenye hiyo picha? Misibani ni sehemu inayokutanisha watu mliopotezana siku nyingi na wageni pia na kwa ufinyu wa wakati mwaweza kujadili jambo nje ya msiba kama Obama na PM huyo wanavyoonekana na mrs obama alimpisha mmewe aweze kuongea na kiongozi mwenzie.
Acheni kuwachafua watu wasafi enyi mbulula wa form two F ya div. V.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom