Obama na mkewe watia aibu SA

Rais wa marekani na mkewe wametia aibu baada ya mkewe kubadilishana nae siti ili kumzuia asiongee na mke wa cameroon kwa kudai it was too much
Obama and Wife at Mandela's Funeral - Imgur

hakua karibu na mke wa Cameron, Obama alikua karibu na alikua akiongea na Danish PM - Helle Thorning

get your facts right ndio uanzishe thread, kuanzisha thread kwa kukurupuka ni ukosefu wa busara
 
Last edited by a moderator:
hakua karibu na mke wa Cameron, Obama alikua karibu na alikua akiongea na Danish PM - Helle Thorning

get your facts right ndio uanzishe thread, kuanzisha thread kwa kukurupuka ni ukosefu wa busara

Hii forum inakaribisha hata watu mediocre,ambao hawasomi news,hawa research kabla ya kuandika!
To be fair wanareflect uwezo wa elimu yetu
 
Rais wa marekani na mkewe wametia aibu baada ya mkewe kubadilishana nae siti ili kumzuia asiongee na mke wa cameroon kwa kudai it was too much
Obama and Wife at Mandela's Funeral - Imgur

acha uongo mna wewe..heee yaani kazi zenu za global publisher mnatuletea mpak huku..wewe nani kakwambia alisema it was too much??alafu kamsute mwenzio alie kuaminisha ujinga kwamba huyo ni mke wa Cameroon...Muage na aibu wakati mwingine
 
Back
Top Bottom