Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hili gazeti limenifurahisha sana moja kati ya sababu ya hili gazeti la Wazungu lililomchora raisi wa Marekani Obama na Mke wake kunifurahisha ni kwamba linatukumbusha Waafrika kwamba sisi ni watu wa mwisho kabisa kwa Mzungu au Mwarabu hata tukijipendekeza vipi!
Kuna wengine wanashinda Ubalozini kwa Mzungu kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo vya Kiuchumi na Mzungu!
Huwa nawashangaa sana humu watu walivyotayari kutoana roho kutetea Wazungu na Israeli kwa kuwa tu wao ni Wakristo na wanajiita John, George au sijui Michael kama Wazungu na wengine kuwa upande wa Waarabu kwa kuwa tu wao wametokea kuwa Waislamu na wanajiita majina ya Kiarabu kama Mustafa, Mohamed, Ahmed, Saidi n.k kumbe wote wawili masikini ya Mungu Waislamu na Wakristo Waafrika kwa Mzungu au Mwarabu ni Nyani tu!
Ukimwambia Mzungu achague Mwarabu au Mwafrika mweusi kama mimi na wewe atachagua Mwarabu na ukimwambia Mwarabu achague kati ya Mzungu Mkristo na Mwafrika Muislamu atachagua Mzungu Mkristo lkn sisi tunatoana ngeo kuwatetea!
Na labda cha kustaajabisha zaidi kuna wangine wanachekelea na kuombea nchi yetu iwekewe vikwazo vya Uchumi na Mzungu wanafikiri kwamba Mzungu akimuona Lowasa anaweza kumtofautisha na Magufuli kumbe kwa Mzungu wote fisadi Lowasa na Magufuli ni nyani tu lkn sisi badala yakuungana pmj sasa na kushimkamana tunashinda kwenye Mabalozi ya Wazungu kuwashawashi waiwekee nchi yetu vikwazo vya Kiuchumi, ili watu wetu waumie, sasa sijui tunapata faida gani mtoto wa Kitanzania akifa njaa?!
Tunafikiri kwamba kesho Watanzania wakifa njaa tukiwa Ulaya Wazungu watakuheshimu kwa kuwa wewe ni ukawa, watakutupia ndizi tu!
Ama kweli adui wa Mwafrika ni Mwafirka ;
Mwenyewe!