Obama kuzuru africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama kuzuru africa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kimatire, Apr 1, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Rais wa Marekani Barack Obama anatarajiwa kuzuru Afrika kuanzia tar.23 Aprili Ikulu ya Marekani imeeleza.Ziara yake itaanzia nchini Kenya ambako alizaliwa baba yake Hussein Obama na mahali inaposadikika alianzia kampeni yake ya Urais,Ziara hiyo itakayomchukua katiika nchi tano za Kiafrika anatarajiwa kutembelea UgandaRwanda,Swazland na Afrika Ya Kusini.Ratiba kamili itatolewa na Wizara ya Nje ya Marekani na kupatikana katika balozi zake kote duniani.
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  (Kama siyo April the 1st thing ...) Ila Kenya atatembelea tu .. baada ya kuwa dumped na Clinton + Bush administrations. Sisi tulijisahau tukawekeza mno kwa Bush
   
  Last edited: Apr 1, 2009
 3. K

  Kudi Shauri Senior Member

  #3
  Apr 1, 2009
  Joined: Nov 1, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  This looks more like a First of April Fools Day story!
   
 4. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280


  Ikulu ya Marekani imewasiliana na wewe personally? To me, this is a fabricated piece until when you provide a reliable source.
   
 5. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  April fool, go to school, tell your teacher bloody fool!
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  haya mambo ya 1st of April mimi yananitatiza sana,what if mtu akiamini na akafanya jambo based kwenye huu urongo,je unaweza ku sue? hasa kama ili base kwenye news ya media?
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu, kama hujui......fools day inatakiwa ifuate masherti kama yafuatayo;

  1. Siku hii huanza saa sita usiku hadi saa nne asubuhi (lasting for approximately 10 hours)

  2. Ukitoa habari au issue yoyote inayohusu hii siku lazima mwishoni au sehemu yoyote uonyeshe au utafute means fulani ya kuwatahadharisha wale wanaopokea ujumbe or taarifa hiyo kuwa inaendana na FOOLS DAY ili kuepusha madhara yatokanayo na watu kufanyia kazi habari au ujumbe huo!

  Sasa habari hii, kwanza imetundikwa hapa saa kumi na dakika ishirini na tisa, pia hakuna caution yoyote kuwa leo ni siku ya fools.....!

  So imekosa sifa za kuendana na siku ya wajinga, hivyo mleta mada ni mwongo au mzushi labda atoe uthibitisho kuwa habari hii ni ya kweli!
   
 8. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Next level, bora umekumbusha haya masharti. Maana watu wanajisahau ..
   
  Last edited: Apr 1, 2009
 9. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Asubiri mwakani alete mpya na kwa wakati muafaka.
   
 10. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Source;Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani-Read Press Release-American Embassy.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...