Obama kanyanganywa sim, JK je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama kanyanganywa sim, JK je?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Nov 19, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Tumeona Obama anavyolalamika kutenganishwa na Blackberry yake. Can you imagine JK anavypenda kutuma text na zile sim kwa wale rafiki zake wa Yanga (asili) kama atalikubali hilo
  [​IMG]

  Imagine vijana wa R.O wamambie kwa sababu za kiusalama Mr President tunaconfiscate Laptop na Mobile phone yako kwa sababu ya kiusalama

  Naona Mkwere atawatukana matusi yote na alivyo mtoto wa mjini tusi lake la kwanza litakuwa Ku!"£$%^&*()_ zenu

  kama kuna Ms!"£$%^&* atabana text msgs toka kwa akina mzee mwinyimvua, madenge na wale vinyozi wangu wa pale mwembe Yanga basi hamuna kazi  Subutuuuuu


  Vijana wa R.O itabidi wauchune tuuuu maana JK kwa sababu ni mtu wa watu hana wasi wasi anajua tuu kuwa akitaka chai basi aibuka tuu un anounced pale K tea shop bila kokoro huku anaendelea kubishana na Dr Riki kama wenger anatimuliwa na AS-NALI au la


   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  GT,
  Tunatofautiana katika taratibu. Hapa Marekani mawasiliano yote anayofanya rais akiwa Ikulu ni mali ya taifa. Tanzania tunaweza kuwa na rais Ikulu akifanya biashara mambo ni kanyaga twende. Mwache Mkwere atambe na Blackberry yake.
   
 3. G

  Ghwakukajha Senior Member

  #3
  Nov 19, 2008
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa maoni yangu,napata picha kwamba katika hili kuna 'mkono' wa manufactures wa simu za blackberry.They know kuwa Obama kwa sasa amekamata attention za watu wengi duniani,hivyo basi kueneza habari kuwa anatumia simu ya aina flan kunaweza ku_speedup their sales.Naamini kuwa Obama anajua/alijua namna mawasiliano ya US president yanavyokuwa monitored,hivyo habari ya kuachana na simu yake atakuwa alishajiandaa/amejiandaa nalo kama ilivyokuwa ktk uvutaji wa sigara.And Im sure yes,he can!N mtazamo tu!
   
 4. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  !@##@##$$%&*()(*&*&^^%%$$#@#@#$%&^*(*()....................
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  GT,
  But on a serious note, Obama will be the first US President to have a laptop in the White House. Can you imagine that? US being a leader in technology kumbe akina Bush walikuwa mbu3 katika matumizi ya taaluma hiyo?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Nov 19, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba walikuwa mbumbumbu bali waliamua kutokuwa nazo. Lakini wewe hilo hukuliona na ukaruhusu ushabiki wako ku cloud impartiality yako. Una uhakika gani Crawford hakuna laptop? Halafu unaona kuwa na laptop mali eeeh? Mimi sina laptop....kwa hiyo mimi ni mbumbumbu?
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nyani,
  With all due respect siwezi kumu-imagine George Bush akitembea na laptop au Blackberry. Kwanza atakuwa anawasiliana na nani, au anajiwekea kumbukumbu gani? Huyu ni mbu3 C student wa Yale au? Angalia alipoifikisha nchi hii. Shame!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 19, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Wingnut John Kerry naye alikuwa average student Yale....so what's your point?

  And what do college grades have to do with having or using a laptop? This is a silly connection...
   
 9. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I think they should just let him keep his blackberry...remember even a President must have some downtime just like the rest of us, been into boring meetings let say to cheer him up he can use his blackberry. Besides he has shown himself to be nothing if not disciplined, so there's no reason to believe he'd let his BlackBerry-ing get in the way of important duties.

  cheers!
  xoxo
   
 10. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2008
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kelly01, nadhani watu wengi wanasahau kuwa hamna sheria inayosema kuwa hawezi kukeep blackberry, issue ni kuwa president's electronic communication have to be on record, kwa hiyo yeye binafsi hatapenda hilo na ndio issue.

  Kukwepa hilo atakachoweza kufanya ni kuassign blackberry ya yule dogo wa UNC, msaidizi wake kuwa ndio watu watume na yeye atasoma (ofcourse those on the circle).

  JK bila cellphone si atakuwa kichaa. Nasikia usiku mzima mkuu yuko hewani na mademu sorry i mean watanzania.
   
 11. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Duh Moelex...Comment yako ya mwisho mad eme crack out...but let me ask this?..hivi mr president hatakiwi kuna na private with his wife?..with that said kama anatumiwa msg za mapenzi na mke wake jee? you know those kind of sms!..
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Nov 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nashangaa
   
 13. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hivi Kikwete na yeye ni mtu wa ku-beep watu? Maana wabongo utakuta ana simu ya $1000 lakini haina hata credit kazi ku-beep 24/7.
   
 14. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2008
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kutumiwa ni possible, lakini President Records Act, inasema everything will become public at a later date au kama kuna issue then subpoenas za congress zikitoka hatuchelewi kurudi kwenye theutamu ahaha
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimecheka sana Muungwana wakati wa usiku yupo na Watanzania akikata meseji hahahahaah
   
 16. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Duh that's sucks!...
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana mimi nakwenda over minutes kila mwezi usikute hawa watu wa simu wanatumia simu namba yangu for their own purpose! see wanamchunguza raisi wao ili iwe nini sasa wamarekani bwana walidhani watambamba ana kichenge (mistress) nini?au ana contact na alquida?  Personal phone records for U.S. president-elect, Barack Obama, were breached by Verizon Wireless employees this week, a Verizon spokesperson reported. The company notified Obama's transition team about the incident Wednesday (November 19th, 2008).

  The phone on the account was not Obama's trademark smart-phone, so none of his personal e-mail or voicemail could be accessed. Obama spokesperson, Robert Gibbs, said the president-elect no longer uses the phone in question. Regardless, Verizon launched an internal investigation to determine whether or not information was shared outside the company.

  All employees who looked at the records are on temporary leave, with pay, pending the investigation
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hao ni kina Nyani tu
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bado wanaweweseka na anguko..!
   
 20. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Obama mwenyewe si ndio ali-vote kuwapa immunity makampuni ya simu yasishtakiwe yaki-collaborate na Feds kwenye kutoa phone records za watu. Hii wala simuonei huruma kwa sababu yeye mwenyewe ndio supporter.
   
Loading...