Obama kama Karl Peters; Kikwete kama Mangungo wa Msovero

naona waje tu, wewe unayelilia ardhi umeitendea nini, una shamba? kwa nini utaki kulima kama kilimo kina manufaa, waje kwa wingi kama wachina watatusaidia kuamsha bongo yetu iliyolala kazi kupiga kelele
 
Kitendo cha kupost info hapa unatumia time and time is most valuable resource,ukishamwelimisha mjinga kama unaona hajifunzi lolote huyo ni mpumbavu,mwache alivyo discuss with others.Kimsingi hakuna mtu yeyote,au nchi yeyote itakayotusaidia kuondokana na umasikini tulionao,sana sana omba omba yetu inawafanya wasidi kutake advantage of us,kilichobaki sasa ni aidha tuachane na fikra za ombaomba tutumie tulicho nacho bahati nzuri tumependelewa rasilimali
nyingi mno kwa kupitia viongozi wenye spiriti ya kulikomboa taifa kiuchumi,wenye ushawishi mkubwa wa kusema mambo yakatekelezeka,watakaohamasisha watanzania wakawa na nidhamu na kazi,wenye kuhimiza na kusapoti kwa vitendo ubunifu wa watu wake,wenye kuuchukia umasikini na kuona aibu na karaha kuitwa "mwakilishi kutoka nchi masikini kupindukia duniani" this is shame for any leader of this country and its shame for all of us.Otherwise wawekezaji watakuja watachukua rasilimali ardhi,watajenga viwanda,watanufaika na matunda yake ilhali watanzania tukipewa misaada ya neti tusije tukafa tukashindwa kuwatumikia na misaada ya elimu zaidi ili tuweze kuwa watumwa wenye tija kwenye ardhi yao na viwanda vyao! think about this,ulishajiuliza kwanini tunaambiwa uchumi unakua lakini wananchi wanazidi kuwa hoi bin taabani? this is the evidence.lakini kinachonisikitisha ni kwamba kama vijana watoto wetu na wajukuu zetu watatamani kututafuna tungali hai kwa ujinga tulioufanya baba zao ilhali umefanywa na baba zetu na babu zetu ambao wakati huo watakuwa dead and forgotten.So we must change! i support initiatives of CHADEMA! I suport all the people who are making things happen! the doers! those who are contributing meanfully to this nation!i know that this country needs more entrepreneurs than ever,we need to see our graduates taking this lead,we need to see them sacrificing today and leaving the unforgattable legacy.......we need to see the currently unutilized 29millions hectares of land potential for irrigation is under utilization!.......god bless.
 
Wazungu waje walime jamani, hii ardhi tuliokuwa nayo ni rasilimali ya kutosha.

Kuna faida nyingi kwanza tukikodisha ardhi tunapata kipato, halafu pia tunaweza kuwawekea masharti kwamba kinacholimwa kingine kiuzwe hapa hapa kwetu na pia waendeleze wakulima wadogo kwa kuwafunda mbinu za kisasa. Fikiria mechanization itakavyokuwa na kuwasaidia wakulima wadogo hapa nchini. Nina hakika hili litasaidia sana kukuza uchumi tunaweza kukua kuliko hata South Africa kama mpango huu ukifanikiwa.
 
Tatizo lako hujui hata unachokiongea. Jee, unajuwa kuwa Tanzania ina kitu inaitwa Benki ya Ardhi?

Jee unajuwa kuwa nchi zote duniani zinashindana kupata wawekezaji kutoka nje ili kuongeza mitaji yao?

Jee unajuwa kuwa Tanzania ni nchi mojawapo katika dunia yenye sera nzuri sana za Ardhi?

Jee unajuwa kuwa Watanzania hawanyimwi fursa ya kuwekeza kwenye ardhi yao wenyewe?

Jee unajuwa kuwa Ardhi yote inayotolewa kwa wageni kuwekeza haitofika hata asilimia 10 ya Ardhi tuliyonayo hata baada ya miaka 20 kuanzia leo?

Jee unajuwa kuwa baada ya Serikali kanisa katoliki ndio lenye kuhodhi ardhi kubwa Tanzania?

Jee unaweza kuniambia ni yupi bora kupewa hiyo ardhi? muwekezaji au Kanisa?

Jee unajuwa Tanzania kabla ya kunyang'anya mashamba kutoka kwa wawekezaji wa kigeni mwaka 1967 ilikuwa ni nchi ya kwanza katika Afrika kwa kusafirisha mazao ya kilimo?

Jee unajuwa kuwa ingawa Tanzania ilikuwa ya Kwanza lakini kwa kusafirisha mazao ya kilimo nje ya Tanzania lakini Ardhi iliyolimwa ilikuwa haifiki hata asilimia 5 ya ardhi yote ya Tanzania?

Funguka. Umeshindwa kujiendeleza kwa miaka 50 wacha walioweza waje kukufunda.

Wape wawekezaji wa kilimo asilimia 10 tu ya ardhi inayomilikiwa na kanisa uone mabadiliko ya kilimo.

Jee unajuwa kuwa Singida baada ya kumpa mwekezaji ardhi ya kulima kwa sasa Singida inalima Strawberries na zimejaa sokoni Singida bwerere na hazina msimu? zamani ilikuwa ni furu, sasati, siunga, zambarau na matoghoo tu na yote mpaka kwa msimu na ni matunda yanayojiotea porini tu?

Hayo matunda niliyokutajia ukimuuliza mtu wa nje ya Singida, pengine sana sana atazijuwa zambarau tu. Sasa uliza ni nani asiozijuwa strawberries duniani? Singida sasa hivi itakuwa kwenye ramani ya dunia kwa kusafirisha strawberries nje ya Tanzania. Ahsante mwekezaji.

hivi wewe moja tatizo lako ni kanisa au? maana naona unataka kupoteza mwelekeo wa mada .
ukiachlia mbali hilo la kanisa, je uliwahi kupitia jkt, labda ukiwa kama yule mbunge mwenye matusi mengi, waweza kuwa hukupitia huko, lakini unge pita huko ungejua kwamba jkt tulikuwa tuna zalisha saana mazao mbali mbali licha ya kutokuwa na uongozi mzuri na utaratibu mzuri wa matumizi ya hayo mazao, je wajua jkt ilikuwa kwanza ni kituo cha uzalishaji, pili kujifunza kilimo na fani nyinginezo , tatu kulinda rasilimali zetu ikiwemo ardhi, nne kujenga uwezo wa kiuongozi na tano kutoa ajira kwa commissioned officers na non commissioned officers achilia mbali wale wakujitoleaambao kwa hali ya sasa tungesema tukusanye wale vijana wote wa mtaani tuwapeleke huko wakazalishe, wakale na wapate mahali pa kulala kuliko kuwaacha wawe vibaka mtaani na kutumia madawa ya kulevya wasijue mlo wa kesho wata pata wapi.
kingine unacho takiwa kujua uchumi wa nchi haujengwi kwa mwaka moja, au kumi, ni mikakati ya muda mrefu, hivyo hiyo ardhi utakayo mpa huyo mgeni utawezaje kuirudisha mikononi mwako ukihihitaji?
tunayo mifano midogo midogo katika dhamani ya ardhi mfano kiwanja bei yake au nyumba magomeni miaka 20 iliyopita na sasa hivi, sasa kwa akili yako waweza fanya hivyo lakini ile mrahaba wote uliopata unaweza kurudi kwa mwekezaji huyo huyo ukiitaka ardhi yako., tumeona kwenye mikataba mbali mbali kama wa reli nk licha ya kuwepo hiyo T.I.C. tatizo la nchi yetu ni kukosa uongozi bora na si kukosa wawekezaji nk
Mwisho ujue kiongozi yoyote wa nchi anafanya vitu kwa maslahi ya watu wake na hiyo ndio sera namba moja ya Obama, hivyo yeye uchumi wa usa na ustawi wa watu wake ndio project yake namba moja , hata ikiwa ni kukupa wewe ndege moja ili apate ndege kumi kutoka kwako. Prof Kapuya na mtaalamu wa botany, sasa baada yakutoka kufundisha chuo ni wakati muafaka yeye akaanzisha mashamba makubwa akaajiri vijana wengi waliopo mitaani.
na je wajua kwamba uchumi wa nchi nyingi zilizo endelea umegota au una rudi nyuma, na solution yao ndio kutafuta wajinga wajinga wakuwa zulumu? hivyo mikakati ya kufanikisha hilo ipo mingi, ikiwa moja wapo ni hili? Mkapa na ujanja wake walimwingiza mjini, na net group, na kuuza nbc nk
alifikiri automatically tz itabadilika na kuwa kama ushelisheli au mauritius, au kenya tukaishia na alliance air, atc-sa, sasa hivi tuna hesabu maumivu.
 
Mkuu Ribosome,

Kwa akili yako yote unaona kuwa kutoa ardhi kwa wageni ndiyo kuitumia kwa faida? Kwa nini tusilime wenyewe?
Hatuhitaji kuomba msaada wa kulima kwa ajili ya chakula chetu. Yatupasa kutumia rasilimali zetu wenyewe kwa faida yetu na vizazi vijavyo badala ya kuwaza mikataba ya kifisadi itakayowanufaisha wengine.
Tatizo kubwa tulilo nalo kama taifa ni kutegemea huruma ya wageni kutusaidia badala ya kuwaza jinsi ya kuwatumia tufaidike sisi zaidi.
Mara zote watu werevu wanaingia mikataba yenye faida zaidi kwao, hivyo wakipewa ardhi yetu watahakikisha wanafaidika zaidi kuliko sisi na kuwaondoa baadaye itakuwa ngumu.

Ni lini Tanzania hii ulipokatazwa kwenda kulima mwenyewe? unataka kulima hauna sehemu ya kulima? njoo kwangu, unataka eka ngapi? lima mpaka useme basi, mimi nipe asilimia 10 ya faida, utakapo anza kuipata kwa ajili ya eneo langu.
 
hivi wewe moja tatizo lako ni kanisa au? maana naona unataka kupoteza mwelekeo wa mada .
ukiachlia mbali hilo la kanisa, je uliwahi kupitia jkt, labda ukiwa kama yule mbunge mwenye matusi mengi, waweza kuwa hukupitia huko, lakini unge pita huko ungejua kwamba jkt tulikuwa tuna zalisha saana mazao mbali mbali licha ya kutokuwa na uongozi mzuri na utaratibu mzuri wa matumizi ya hayo mazao, je wajua jkt ilikuwa kwanza ni kituo cha uzalishaji, pili kujifunza kilimo na fani nyinginezo , tatu kulinda rasilimali zetu ikiwemo ardhi, nne kujenga uwezo wa kiuongozi na tano kutoa ajira kwa commissioned officers na non commissioned officers achilia mbali wale wakujitoleaambao kwa hali ya sasa tungesema tukusanye wale vijana wote wa mtaani tuwapeleke huko wakazalishe, wakale na wapate mahali pa kulala kuliko kuwaacha wawe vibaka mtaani na kutumia madawa ya kulevya wasijue mlo wa kesho wata pata wapi.
kingine unacho takiwa kujua uchumi wa nchi haujengwi kwa mwaka moja, au kumi, ni mikakati ya muda mrefu, hivyo hiyo ardhi utakayo mpa huyo mgeni utawezaje kuirudisha mikononi mwako ukihihitaji?
tunayo mifano midogo midogo katika dhamani ya ardhi mfano kiwanja bei yake au nyumba magomeni miaka 20 iliyopita na sasa hivi, sasa kwa akili yako waweza fanya hivyo lakini ile mrahaba wote uliopata unaweza kurudi kwa mwekezaji huyo huyo ukiitaka ardhi yako., tumeona kwenye mikataba mbali mbali kama wa reli nk licha ya kuwepo hiyo T.I.C. tatizo la nchi yetu ni kukosa uongozi bora na si kukosa wawekezaji nk
Mwisho ujue kiongozi yoyote wa nchi anafanya vitu kwa maslahi ya watu wake na hiyo ndio sera namba moja ya Obama, hivyo yeye uchumi wa usa na ustawi wa watu wake ndio project yake namba moja , hata ikiwa ni kukupa wewe ndege moja ili apate ndege kumi kutoka kwako. Prof Kapuya na mtaalamu wa botany, sasa baada yakutoka kufundisha chuo ni wakati muafaka yeye akaanzisha mashamba makubwa akaajiri vijana wengi waliopo mitaani.
na je wajua kwamba uchumi wa nchi nyingi zilizo endelea umegota au una rudi nyuma, na solution yao ndio kutafuta wajinga wajinga wakuwa zulumu? hivyo mikakati ya kufanikisha hilo ipo mingi, ikiwa moja wapo ni hili? Mkapa na ujanja wake walimwingiza mjini, na net group, na kuuza nbc nk
alifikiri automatically tz itabadilika na kuwa kama ushelisheli au mauritius, au kenya tukaishia na alliance air, atc-sa, sasa hivi tuna hesabu maumivu.

Tena uchumi wa nchi uliobomolewa kwa miaka 24 mfululizo kuujenga ni kazi kubwa sana na Kikwete anafanya hivyo. Toka amekuja amefanya mabadiliko makubwa sana ya kilimo mpaka anaitwa G8 akawape darsa.
 
Uchumi tunao tunaukalia, lete wazungu waanze kulima hapa uchumi ukue fasta fasta kama Brazil.
 
Uchumi tunao tunaukalia, lete wazungu waanze kulima hapa uchumi ukue fasta fasta kama Brazil.

Unanikumbusha mashamba ya Mkonge na kule hanang ya ngano, walivyokuwepo wazungu yalikuwa yameshamiri na tunauza mpaka nje ya Tanzania, walipoondoka wazungu na mashamba yamekufa na ilhali yalikuwa ni ya umma. Hapo sasa.
 
Ribosome,

Sasa hivi ukipita njia ya kwenda Morogoro au Tanga utaona Mkonge umezeeka ndio uliobakia watu wanatumia kama malisho ya Ngo'mbe. Nyerere mwenyewe alijua bila ya wazungu mambo hayaendi akawaalika waje wakae hadi kwenye vijiji vya ujamaa. China wenyewe wanajifanya wajamaa wakubwa wamarekani wamejaa huko!
 
Tena uchumi wa nchi uliobomolewa kwa miaka 24 mfululizo kuujenga ni kazi kubwa sana na Kikwete anafanya hivyo. Toka amekuja amefanya mabadiliko makubwa sana ya kilimo mpaka anaitwa G8 akawape darsa.

Hivi Ribosome, nani alileta ukristu na uislamu huku kwetu Afrika? Unatofautishaje agenda yao ya kwanza na wanachofanya leo? Kwasababu this time anakwenda kuwaita Kikwete basi yeye hapotezi muda? Kama na wewe ni msaidizi wa JK na una mshauri haya unayoyaandika humu, sisiti kusema una mdanganya. Na kusema ukweli hakuna lolote la maana ambao limeshamiri kwenye awamu hii kama, rushwa, wizi wa mali ya umma, ukwepaji kulipa ushuru, na matumizi mabaya ya rasilimali zetu. Nenda karibu kila wizara ukaone nini kinaendelea huko! Watu wanagawana mali ya watanzania kama mali yao na watoto zao...au na wewe ni mmoja wa walionufaika na utaratibu huu mbovu unaoua uwepo wa Taifa moja lenye amani na mshikamano?
Kuna mambo tukishabikia inaleta maana...kuna mambo tukishayabikia inaonyesha jinsi gani uwezo wetu wa kuona na kufanya mambo ulivyo mdogo.
 
I will support the president if the so called wawekezaji wangeletwa hapa kupewa ardhi ya kilimo ikiambatana
na ujio wa viwanda vya kusindika hayo mazao. Kwani kwa takwimu tulizonazo mahindi yanaoza huko kusini
mwa nchi yetu.

Mfano wa viwanda ni kama vile vya clips, pringles, syrup, n.k badala ya sisi kuagiza vitu hivyo.
Umo ktk viwanda wanetu watapata ajira.
 
Rasilimali zetu wanauza kwa bei ya kupeana wanajenga majumba sisi wanatutembezea bakuli ndio tule,tuelimishwe,tutibiwe na tujengewe miundo mbinu. Kila muundo mbinu utakaojengwa utaambiwa una mkono wa wahisan hata vitanda hospitali utaskia wajapan,wachina. Hii nchi haiwezi kujenga hata km 100 za barabara bila wahisan?CCM msituambie mmetuletea maendeleo akat mnatuaibisha na mabakuli kila uchwao.
 
Jamani kanisa katoliki mapdre wake wengi ni wazawa,na ardhi inamilikiwa na kanisa katoliki Tanzania.Kinachotuumiza waTanzania ni ajira na ajira yetu kubwa inatokana na ardhi yetu wenyewe.Hawa wageni wanapokuja Tanzania wanapewa mikopo ya bei nafuu kutoka kwenye haya mabenki yetu.Tujiulize kama Viongozi wetu wanauzalendo kwa nini fursa hii wasipewe wazawa kwanza? Kama mwekezaji wakija basi kijiji au wilaya iweze kuhdhi hisa nyingi ambayo iwe zaidi ya asilimia hamsini na watanzania wapewe fursa ya kuelimishwa kuhusu kilimo cha kisasa.Ribsome usiwe na mawazo ya mtu ambaye hata shule hajaenda.Tanzania kwanza daima baadaye mambo mengine. Hebu imba Tanzania nakupenda mara mbili uone majibu yako yanavyoudhi na kukera watu.
 
naona waje tu, wewe unayelilia ardhi umeitendea nini, una shamba? kwa nini utaki kulima kama kilimo kina manufaa, waje kwa wingi kama wachina watatusaidia kuamsha bongo yetu iliyolala kazi kupiga kelele

Hebu jaribu kukumbuka kuwa hata hao unao wapigia debe waje kinacho fanyika ni kulima maua ambayo hayakidhi haja na matakwa ya Watanzania.Kwa mantiki hii naamini ile nyundo imegonga vichwa vya watu kiasi watu wanashindwa kujitambua.

Miaka ya nyuma tuliwaimba makaburu na kuwaona ndio maadui wetu wakubwa,kiutu na kimaslahi lakini leo hii tumewakumbatia na kuwakabidhi rasilimali zetu,wananchi wetu wanaendelea kuwa manamba na watumwa ndani ya nchi yao katika karne hii ya sayansi na teknolojia.

Hivi ni lini tutajitambua na kuacha mkumbo wa kuwa bendera fuata upepo!Mwalimu J K Nyerere aliwahi kusema imefika wakati tukatae madeni wanayo tudai hawa wanao jiita wafadhilikwa kuwa wamelipa kile walichochuma kwetu na kuwa malighafi ya viwanda vyao huko majuu.Kwa hali ilivyo sasa si pendi kuamini kama kuna \Watanzania badop wanaota ndoto za alinacha kiasi cha kukabidhi ardhi yetu kwa chandarua.Tumuombe sana Mungu atusaidie tujitambue
 
Wazungu waje walime jamani, hii ardhi tuliokuwa nayo ni rasilimali ya kutosha.

Kuna faida nyingi kwanza tukikodisha ardhi tunapata kipato, halafu pia tunaweza kuwawekea masharti kwamba kinacholimwa kingine kiuzwe hapa hapa kwetu na pia waendeleze wakulima wadogo kwa kuwafunda mbinu za kisasa. Fikiria mechanization itakavyokuwa na kuwasaidia wakulima wadogo hapa nchini. Nina hakika hili litasaidia sana kukuza uchumi tunaweza kukua kuliko hata South Africa kama mpango huu ukifanikiwa.

Tangu tumewamilikisha ardhi yetu tumenufaika nini zaidi ya kubaki kuwa malofa wa kutupwa.Madini yetu yamekwenda nje ya nchi mara ngapi bila kuwanufaisha wananchi wa sehemu husika.Kwa taarifa yako hata hao wazungu wanatushangaa sana kuona tupo simple like that.Rais Kikwete aliitwa kuhudhuria kikao cha utandawazi na exposure of mineral trade,kilichotokea huko nia aibu kwa taifa linalijiita muumini wa utawala bora.Serikali haijui kiasi cha madini yake yanayosafirishwa kwa mwaka? Hii ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom