mzenjiboy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 907
- 382
Rais Obama kaingia nchini Afghanistan leo hii kimya kimya tena bila ya taarifa.
Yeye si wa kwanza kuingia Afghanistan kwa mlango wa nyuma, Bush Jr., Cameroon wa UK na wengine wengi huingia Afghanista bila ya taarifa.
Kumbe maTaliban si watu wa kuchezea. 🎭
Yeye si wa kwanza kuingia Afghanistan kwa mlango wa nyuma, Bush Jr., Cameroon wa UK na wengine wengi huingia Afghanista bila ya taarifa.
Kumbe maTaliban si watu wa kuchezea. 🎭