Obama half-brother on drug charge -Je hii ni kuichimba familia ya Obama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama half-brother on drug charge -Je hii ni kuichimba familia ya Obama?

Discussion in 'International Forum' started by Shadow, Jan 31, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Obama half-brother on drug charge

  George Obama is the President's younger half-brother
  The Kenyan half-brother of President Barack Obama has been arrested for alleged marijuana possession.

  George Obama was arrested in Nairobi with one joint of marijuana, police chief Joshua Omokulongolo said.

  "He is not a drug peddler. But it is illegal, it is a banned substance," he said. Mr Obama has denied the allegations.

  The US president and George Obama share the same father, but are thought to have only met each other briefly.

  George Obama, who is in his 20s, is due in court on Monday.

  "They took me from my home," George Obama told reporters in Nairobi from his jail cell. " I don't know why they are charging me."

  Kenyan family

  Last year, George Obama told Vanity Fair magazine that he had only met his more famous half-brother twice, once when he was five and once when he visited East Africa in 2006.

  Of their second meeting, George reportedly said:"It was very brief, we spoke for just a few minutes. It was like meeting a complete stranger."

  He has also said that he is studying to be a mechanic and works with a local youth group in Huruma, the area in Nairobi where he lives with his extended family.

  He is the youngest of his father's seven children and was born six months after his father died in a car crash in 1982.

  Several of the president's Kenyan relatives went to Washington for his inauguration on 20 January, though George Obama did not.

  The American president described his half brother as a " handsome, roundheaded boy with a wary gaze" in his book, Dreams From My Father.

  BBC NEWS | Special Reports | Obama half-brother on drug charge
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwani Obama yeye ndio nani jameni? Yaani mtu yoyote mwenye jina la Obama akiguswa hata kihalali watu mtaanza kuhoji kama ni attempt ya kumchimba Baraka, come on now...this is getting beyond ridiculous....it's now a love affair..

  Haya basi wamwachie tu hata kama kavunja sheria....Obamas are above the law....free George Obama now....
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...some Kenyan police loser seeking publicity stunt! Hovyooo kabisa!!!!

  ...mbona sio ajabu polisi, jeshi, wakulima nk kuvuta bangi kabla ya kuanza kuwajibika? ...kama sio peddler kwanini mlimfuata nyumbani kwake kumsachi?

  Hovyo kabisa hii mi puppet!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jan 31, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Oh yeah...Onyango kaonewa hapo
   
 5. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Gharama za kuwa ndugu ya mtu maarufu kama Obama ndo hizi...
   
 6. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu ni wepesi wakusahau hivi wakati ule watoto wa Bush walivyokuwa wakienda katika Bar na vitambulisho vya kuhushi na kupata pombe hadi kupombeka mbona hakukuwa na mshangao kiasi hichi leo half brother wa Obama wamemkuta na kiji shushungi kakidogo cha Herbs kwa matumizi yake binafsi imekuwa nongwa
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nyani

  Hapa siyo kumchimba Obama, Ila hawa jamaa wa Kenya wanaona jamaa kawasahau hata kusema kuwa atatembelea Kenya hajasema wakati wao waliishaanza kujenga Uwanja wa ndege ili Air Force One iweze tua karibu na Kogero.

  Sasa njia pekee waliyoifanya ni kumkumbusha kuwa kuna ndugu zako hapa hawana kitu mpaka wanauza bangi, ili aifikirie Kenya hawana lolote hao polisi wa Kenya ni strategy ya kuvuta atention ya Obama Kenya. Kuna wauza bangi wangapi wanakatwa kila siku hawatangazwi, Huyu George ni private citizen kumkata na kuita media kuwa tumemkamata Obama ni kitendo cha aibu sana kwa polisi wa Kenya

  Walidhani akipata urais basi Kenya itakuwa 51st state ya USA kweli hawa jamaa Hoooovyoooo!!! LOL!
   
  Last edited: Jan 31, 2009
 8. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Polisi mjini nairobi nchini kenya wanamshikilia George Obama kwa kosa la kukutwa na msokoto wa bangi. George ni mdogo wa mwisho wa Rais wa Marekani Barak Obama.

  Kwa mujibu wa taarifa za kipolisi, George alikutwa na mkasa huo katika msako wa polisi mjini nairobi dhidi ya watu wanaouza na kutumia dawa za kulevya. George na Barak wanachangia baba na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa kwa Mzee Obama.

  Source: TBC news bulletin
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Liligen angalia hapa.

  Mod kweli nawakubali yaani kama mnaangalia stock variation vile ili kuingia kwenye contract. Inatakiwa kabla hujapost unaangalia kama kuna related post.
   
 10. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  NYANI,
  Hujui kwamba mkubwa ni jaa?
   
 11. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kama kweli wanamkakati huo basi unaweza ku-backfire kwani obama (usa)
  anaweza kuamua kuzidi kuwa mbali na obamas (kenya) ili wasimchafue.
  si unajua masuala ya kutiliana kitumbua mchanga :)
   
 12. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ooooooooooh ...... right!!!!!!!!!!!!! ha ha ha anyway wachie wenyewe!!!!!!!!
   
Loading...