JK Why you lie citizens..? Obama hakuitaja wala kuisemea TZ kwenye mkutano wa UN, nashangaa JK anadanganya, we as TZs tunashangaa kwa kusema uongo, mbona una kosa hoja? ahadi zimekwisha..? Jk nikwambie tu KURA ni ngumu saaaaaaana kwako mwaka huu, from Universities, to ordinary citizens una hali mbaya, Anyway kama Obama angesema ameahidi msaada kwa serikali kwani ni CCM? kwnn ujinadi blindly this way? watu hawadanganyiki siku hizi, hivi huoni maisha ya watu yalivyo duni ktk kampeni zako? Listen JK, "if you give man a fish you will feed him for a day, if you teach him fishing you will feed him for rest of his life" Misaada is a fish for a day. futa mikataba mibovu ya madini, panua bandari, jenga reli, kamata mafisadi tia ndani ww unawakumbatia ooohooo...!!!, elimu bora bure hadi f6, afya, imarisha mishahara, na nasema USIMTEGEMEE OBAMA, mara OBama............. what..!!? wala wameshakusahau yy pia anakampeni kali kweli US, his WHITE HOUSE chief of Staff anaondoka OBAMA yuko busy, mara ya pili nakusikia OBAMA< ukiwa Iringa Obama....What is wrong with you...!!!? of course nothing is right for you for this, stop lying, tunayo video ya Obama at UN meeting TZ never mentioned, Sisi wanafunzi wa VYUO VIKUU mkipata kura zetu hata moja omba MUNGU. Tutaonana 31 OCt. DR Slaa tunakuamini, siasa ni imani na si kutishwa na polisi wal JW.