Obama haji kuaga Afrika, ingawaje mlilia kushinda kwake!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kuna nchi kama Kenya mpaka zilitangaza siku Obama anaapishwa kuwa siku ya mapumziko, kisa tu Baba yake Obama alitokea huko Kenya, sasa Raisi wa Marekani Obama ambaye anamalizia Uraisi wake mwaka huu ameanza ziara ya kuaga marafiki zake alifika Saudia, akaenda Uingereza na sasa anakwenda Ujerumani na kurudi kwao, lkn sijaona mahali anakuja kuaga Afrika, oohhh kumbe machozi yenu yalikuwa ni ya samaki yameenda na maji masikini Waafrika kila siku sisi ni watu wa kutumiwa tu kama kiatu, sasa Obama amemaliza kukivaa kiatu amekitupialia mbali atanunua kingine na wala hakumbuki kwamba kilimfaa mahali, etii Raisi wa kwanza Mwafrika kuongoza Marekani, hata aibu hamna!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom