Obama atangaza hali ya hatari jimbo la florida

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Rais wa Marekani Barrack Obama ametangaza hali ya hatari katika mji wa Florida baada ya picha za Satellite kuonyesha kimbunga Hurricane Matthew kinaelekea eneo hilo.

Vikosi vya uokoaji navyo vimejiandaa kutoa msaada pale inapobidi.

Kwasasa kimbunga Matthew kimesababisha kasi ya upepo kwenda kwa kilomita 220 kwa saa moja.

Mamilioni ya watu katika majimbo manne nchini Marekani wamenza kuhama makazi yao hususani aeneo ya mwambao wa pwani ili kuepuka kukumbwa naathari za moja kwa moja za kimbunga hicho.
 
USA baby
images

Hivi mmewahi kujiuliza haya majanga ya asili kwa nini yanatokea kwenye hilo Taifa la majambazi?
 
Hivi mmewahi kujiuliza haya majanga ya asili kwa nini yanatokea kwenye hilo Taifa la majambazi?
Una chuki zako sio bure! Ni nchi gani haina natural disasters? Kuanzia Iran, Indonesia, China, Italy, Japan, US, n.k. majanga ya asili ni kawaida mno na hayana uhusiano wowote na "ujambazi" au "utakatifu" wao. Afrika majanga makuu ni ukame na magonjwa (ebola, etc.); maelfu wanakufa kila mwaka; je, sisi tumelaaniwa?
 
Kwa jinsi ilivyokuuma,hakika kuna kitu
 
miezi iliyopita kagera waliiba sana vitu na kuchinja raia wakapatwa na tetemeko
Hii ni tokea mwaka juzi tu
Sasa linganisha na Tanzania
Year

Type
Fatalities Damage (US$) Article Location Comment
2016 Flood 13
2016 Louisiana floods Louisiana
2016 Flood 23
2016 West Virginia flood West Virginia Lot of water everywhere for a long time
2016 Blizzard 55
January 2016 United States blizzard Southeast through Mid Atlantic to Northeast Snowfall totals in excess of two feet (61cm)
2015 Flood 25 Billions October 2015 North American Storm Complex Carolinas
2015 Flood 20 a lot of billions of dollars lost. 2015 Utah floods Utah
2015 Wild fire 3 $6-$8 billion Okanogan Complex fire Okanogan County, Washington Damage figure includes costs involved in the fighting of the fire.
2015 Flood 46
2015 Texas–Oklahoma floods Texas, Kansas, Oklahoma
2014 Snow storm 24
November 2014 North American winter storm Buffalo, New York, Great Lakes region
2014 Tornado 35 $1 billion April 2014 tornado outbreak Nebraska, Louisiana, Oklahoma, Illinois, Florida, North Carolina
 
Kwa jinsi ilivyokuuma,hakika kuna kitu
Wala haijaniuma zaidi ya kuweka tu rekodi sawa. Sidhani kama Marekani (au nchi nyingine yoyote) walichagua nchi yao iwe pale ilipo; au kwamba wengine ni watakatifu sana kuzidi hao uliowaita majambazi. Hakuna sababu ya kukebehiana kwa kitu ambacho binadamu hana control nacho. Ni sawa na mmoja aliwahi kuchangia humu akikashfu kabila fulani eti huko kwao kumejaa makaburi!
 
Kidoogo nimekuelewa
ILA
Katika kuweka rekodi sawa,hakika haya majambazi yalichagua nchi yao iwe pale,baada ya kuamua kuwafutilia mbali wahindi wekundu kwenye uso wa dunia(nature ni kitu cha ajabu bado kuna masalia ya hawa wahindi wekundu).
Hawa wahindi wekundu walikuwa na uwezo wa kuzuia natural disaster...ni sawa na siye wa Afrika zamani kabla ya kuhasiwa fikra zetu na kuamua kuzitupa zote. tulikuwa na uwezo wa kuomba mvua inyeshe na ikanyesha.
 
Back
Top Bottom