Obama and Raila: Siasa zapamba Moto

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2
Here are three lovely photos of the next president of the Republic of Kenya, the gentle and beloved Hon. Engineer Raila Amollo Odinga. Raila is the son of the father of Opposition Politics in Kenya, Marehemu Mzee Jaramogi Oginga Odinga.

PICHA:

Ya kwanza inaonyesha mpendwa Raila akisikizwa kwa makini na waKenya wa kawaida ambao amekuwa akiwapigania na wanampenda kwa roho safi.


Ya pili inamwonyesha ndugu Raila na relative yake Barack Obama ambaye anawania urais USA mwakani. Raila na Obama ni mabinamu yaani wanatoka kwenye jamii moja ya waLuo wa Kenya.

Kura za maoni zaonyesha Obama pia anaweza kuwa Rais wa US. Basi nyinyi wa East Africa mbona hamwoni baraka hapo. Raila na Obama wanaweza unda network bomba itakayoleta manufaa Kenya na pia kwa ndugu zatu waUganda na waBongo.

Ya tatu yaonyesha Raila akijimwayamwaya uwanjani kucheza soka. yeye ni namba tano wa Bunge FC ambaye hucheza na timu mbali mbali kuunda hela zakuwaokoa wanyonge na wanaotaabika duniani kwajili ya ufukara. By the way hii ni initiative ya Raila, bunge iliitengeza timu kwajili ya brilliant ideas za Raila.

Wa TZ wa Mwanza na kwingineko Kaskazini ya Bongo ambao wametengwa kimaendeleo na Serakali iliyojificha huko Dar pwani hivi majuzi walitoa kaulikumpsapot Raila mbona wewe pia usiingie ndani ya boti hii kabla iong'oe nanga?
 

Attachments

  • a man of the people.jpg
    a man of the people.jpg
    50.7 KB · Views: 129
  • raila and obama.jpg
    raila and obama.jpg
    4.6 KB · Views: 132
  • raila a team playa.jpg
    raila a team playa.jpg
    43.7 KB · Views: 132
Back
Top Bottom