Nimejiuliza hilo swali nimeshindwa kupata jibu! Kwa sababu Obama amemtaja Graca katika hotuba yake lakini siyo Winnie na pia alipomaliza hotuba yake akampa pole Graca, tena kwa hug, isipokuwa Winnie ingawa akina mama hao walikuwa wamekaa karibu sana! Was it that questionable integrity on the part of Winnie?