Obama ana Hasira na Winnie?

K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
218
Nimejiuliza hilo swali nimeshindwa kupata jibu! Kwa sababu Obama amemtaja Graca katika hotuba yake lakini siyo Winnie na pia alipomaliza hotuba yake akampa pole Graca, tena kwa hug, isipokuwa Winnie ingawa akina mama hao walikuwa wamekaa karibu sana! Was it that questionable integrity on the part of Winnie?
 
Baba wa kweli ni yule anayelea mtoto; Mke wa kweli ni yule anayemzika mumuwe (kwa shida na raha)

nafikiri Obama yupo sahihi - mama winnie aliamua kula maisha yake wakati mzee yupo gerezani, ni kosa!!

Nakubaliana na hoja!
 
Sijasikia kiongozi yeyote amemtaja Winnie. Naona hata Rais wa Brazil amemtaja Graca .......... wengine kama Pohamba wa Namibia wameamua kutoa pole kwa ujumla kwa familia bila kutaja majina.
 
winnie walishaachana infact hakutakiwa hata kukaa mbele maana ni mzazi mwenzie tu!!!
 
Jana makamu wa rais wetu aliingia na wake wawili pale shamba la bibi! VX mara mbili!

article-2521216-1A01178D00000578-653_964x713.jpg

Sijasikia kiongozi yeyote amemtaja Winnie. Naona hata Rais wa Brazil amemtaja Graca .......... wengine kama Pohamba wa Namibia wameamua kutoa pole kwa ujumla kwa familia bila kutaja majina.

Naona J Zuma kamtaja, kwa nini Winnie bado anatumia jina la Mandela na Gracia bado anatumia jina na Machel?
 
Naona J Zuma kamtaja, kwa nini Winnie bado anatumia jina la Mandela na Gracia bado anatumia jina na Machel?

Winnie baada ya kutalikiwa alimuomba Mandela aendele kutumia jina lake. Na Gracia analitumua jina la mume wake wa zamani kwa makubaliano ya Mandela mwenyewe ili aendelee kumheshimu na kumuenzi rafiki yake Samora.
 
Sijasikia kiongozi yeyote amemtaja Winnie. Naona hata Rais wa Brazil amemtaja Graca .......... wengine kama Pohamba wa Namibia wameamua kutoa pole kwa ujumla kwa familia bila kutaja majina.

Rais Zuma amemtaja!

Mimi binafsi siungi mkono tabia chafu za Winnie kama binadamu, lakini baadhi bado wanauthamini mchango wake katika struggles za apartheid South Africa, nao tusiwapuuze sana--democracy at work!
 
Back
Top Bottom