Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,005
- 9,872
Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani, Barack Obama amempongeza Joe Biden kwa kushinda Urais mwaka huu dhidi ya mpinzani wake Donald Trump
Katika taarifa yake amesema kwa mara ya kwanza mwaka huu wamarekani wamejitokeza kwa wingi kupiga kura. Aidha kila kura ilihesabiwa na kumfanya Biden ashinde kwa kishindo
Anatarajia Joe Biden atafanya vitu ambavyo vitawanufaisha wamarekani hata wasio mpigia kura. Amewataka watu wote kuonesha ushirikiano ili kuepuka mpasuko kama taifa