#COVID19 Obama akutwa na Covid-19

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,811
4,533
1647243884935.png

Aliyewahi kuwa rais wa Marekani Barack Obama amekutwa na maambukizi ya corona baada ya kufanyiwa vipimo.

Obama ametangaza kuwa na maambukizi hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.

"Nimekutwa na covid. Nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa siku mbili, lakini ninajisikia vizuri" alisema kwenye akaunti yake rasmi ya Twitter.

Obama pia alieleza kuwa yeye na Mkewe Michelle Obama wameshapata chanjo na Mkewe amepimwa hana maambukizi.

Pia amekumbusha wale ambao hawajapata chanjo kuhakikisha wanachanja licha ya kuwa visa vya maambulkizi vinapungua
===

Former President Barack Obama said on Sunday that he had tested positive for the coronavirus, though he's feeling relatively healthy and his wife, Michelle Obama, tested negative.

"I've had a scratchy throat for a couple days, but am feeling fine otherwise," Obama said on Twitter. "Michelle and I are grateful to be vaccinated and boosted."

Obama encouraged more Americans to get vaccinated against the coronavirus, despite the declining infection rate in the U.S. There were roughly 35,000 infections on average over the past week, down sharply from mid-January when that average was closer to 800,000.

The U.S. Centers for Disease Control and Prevention report that 75.2% of U.S. adults are fully vaccinated and 47.7% of the fully vaccinated have received a booster shot. The CDC relaxed its guidelines for indoor masking in late February, taking a more holistic approach that meant the vast majority of Americans live in areas without the recommendation for indoor masking in public.

Source: VOA
 
Propaganda za kipuuzi
 
Huyo hakuwa raisi bali ni gaidi alietuulia gadafi wetu.
 
Back
Top Bottom