Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada amesema "wrong route" siyo "destination".Unaweza kuwa unaenda sehemu ukapita njia isiyo sahihi ukafika baada ya masaa 2 au usifike kabisa wenzio waliopita njia sahihi walifika ndani ya nusu saa. Vyote ulivyovitaja tunataka ila njia ya kuvipata ndo mjadala ulipo...Kupambana na mafisadi ndo wrong route?
Kuhakikisha watoto hawakai chini shuleni ndo wrong route?
Kuhakikisha wagonjwa hawalali chini ndo wrong route?
Ufisadi upi aliopambana nao.......... ?Kupambana na mafisadi ndo wrong route?
Kuhakikisha watoto hawakai chini shuleni ndo wrong route?
Kuhakikisha wagonjwa hawalali chini ndo wrong route?
Kwani we unaujua upi?Ufisadi upi aliopambana nao.......... ?