Obama akiongelea 'Separation of Power' kwenye nchi

NO EXCUSE

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
417
250

You want people to say what you want to hear, You hate critical thinkers. Those to doing otherwise you lock them up, ban press (No Freedom of Expression)

People live in terror NOT peace. No thinking, no creativity

AT THE END CRIPPLED ECONOMY
 

Dumbuya

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
552
1,000
Kupambana na mafisadi ndo wrong route?
Kuhakikisha watoto hawakai chini shuleni ndo wrong route?
Kuhakikisha wagonjwa hawalali chini ndo wrong route?
Mleta mada amesema "wrong route" siyo "destination".Unaweza kuwa unaenda sehemu ukapita njia isiyo sahihi ukafika baada ya masaa 2 au usifike kabisa wenzio waliopita njia sahihi walifika ndani ya nusu saa. Vyote ulivyovitaja tunataka ila njia ya kuvipata ndo mjadala ulipo...
 

Jp Omuga

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
4,113
2,000
Ahahahahahahah... Obama naye bwana.

Subtitles naona kama hazipo sawa sawa..!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom